Haya mambo unaweza kudhani ni mzaha, tulianza na habari ya mb.oo za kuchonga, kwamba hizi zetu haziwatoshi, zingine hadi nasikia za mbao, sasa hivi nasikia wamehamia kwenye vijibwa, Mungu...
Kwenye mahusiano kuna vitu vingi na moja ya vitu hivyo ni kupeana zawadi.
Kwahiyo kama kichwa cha mada kinavosema ni zawadi gani ulishawai pata kutoka kwa mpenzi wako, ambayo kwako hiyo zawadi...
Mitandao ya kijamii imeturahisishia kujua maisha ya watu wanaotuzunguka na hata waliopo mbali na mahali tunapoishi.
Kwa kizazi chetu cha leo sio jambo geni kuona vijana au hata wazee...
Wanajamvi kuna binti wa kitanga alinipa penzi la kutisha kati ya mwaka 2014 na 2016. Kwa kipindi hiki kazi zangu zilikuwa za kuzunguka sana.. Bahati nzuri nikakutana na Huyu binti mwaka 2013 akiwa...
Habari wanajamvi JF, natumai muwazima kabisa.
Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mpangaji wetu mmoja hapa nyumbani ana ndugu yake ambae nilitokea kumpenda sana na baada ya kuongea nae...
Kabila la 'Ovahimba' ambalo mgeni wa kiume hukaribishwa kwa kufanya mapenzi....
Wakati dunia nzima ikipambana kuzuia ongezeko la maambukizi ya magonjwa ya ngono kama UKIMWI, Kaswende, Gonorea na...
Ni nani asojua kila kitu kina uzoefu wake?
Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi, tonge halishikiki likawekeka mdomoni
kwann nimeyasema haya yote? mzigo huo hapo. hutajutia bado lako
Habari Wakuu,
Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane...
Wakuu,
Jamani kiukweli kwa kitu ambacho nimekuwa nikikiona kwa baadhi ya wadada ambao hawajaolewa ni kuwa wamekuwa wanahasira sana.
Na sio mimi tu nimeshasikia watu wengi wakilalamika kuwa...
Wadau, kama wasemavyo watu wa Tanga ni watu wenye utu na ubinadamu, hatimaye nmeona kwa macho yangu.
Nimefika Tanga kwa kufuatilia maswal ya shule ya mdogo wangu na nkafikie hoteli moja ya...
Nikiwa na akili timamu tena bila kulazimishwa na mtu ninakihama chama cha kupenda kikweli na kuhamia cha wazee wa hit and run kuunga mkono juhudi za maplayer.
Huyu mtu nimemjengea hadi mamake na...
TRUE STORY KUANZIA MWAKA 2012
Habari wanajukwaa,
Leo nami nimeamua kuwaletea kisa changu baada ya muda mrefu kuwa msomaji wa visa vya wengine na muandikaji wa habari zisizo nigusa mie moja Kwa...
Kuna demu kanitukana leo Eti nawachukia wanaume wote Mbwa nikamtumia hiyo picha nikamwambia nionyeshe Baba yako hapo Akaniblock
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau mimi kwa upande wangu naona SARRI kazingua kwa nini amuanzishe HAZARD Bench.
Wewe hunaonaje hila Chelsea leo ushindi Lazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kiliwahi kunitokea nikaapa sitorudia..
Kulikuwa na jirani yangu mke wa mtu. Sasa akawa amenishobokea mi nkala mzigo. Nilivomaliza tu nilijiskia vibaya sana kumsaliti mchumba wangu...
hivi kwa nini wanawake walio wengi hapa nchini kwetu wanapenda kununa hovyo bila sababu za msingi?
yani mtu kanipigia tu simu akakuta inatumika basi nae tayari kanuna,yani wao wanadhani muda wote...