Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salam sana jamvini Jamani napenda niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake wanaolalamika kuhusu mahusiano ama ndoa zao kukosa mwelekeo mzuri na zingine nyingi...
10 Reactions
71 Replies
4K Views
Jamani nisaidieni kuna mapenzi kweli hapo,?anafaa kweli kuolewa mwanamke kama huyu? Eti jamani kwanini wanawake mnapenda kutuumiza hivi jamani au ni kawaida ila Mimi ndio sijui. Ushauri please
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mume au mchumba amesafiri iwe kwa shughuli za kikazi au biashara zake. Kwa nia njema anakupa jina la hoteli aliyofikia. Umekata ticket ya ndege umfanyie tu surprise. Kumbe alisafiri na sweet...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Am serious i need a girl sitaki mambo mengi aje pm tujuane zaid then excetra ...mimi kijana btn 25&30 ..welcome kwa mwenye uhitaji. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
874 Views
Sasa sijui ndio itakuwa maombi yenu yamejibu maana huyu dada wa kazi wa jirani yangu anasema hajaziona siku zake toka juzi sasa sijui anamaanisha nini na mimi hapa nilipo sina maisha sababu hata...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Mimi nimekupenda sana, labda ni vigumu kunielewa kutokana na ukimya wangu lakini unaweza ukanielewa vema kama utasoma maneno yaliyo ndani ya macho yangu.... Eee kumbe na mimi naeza kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
If you suck one one, the woman herself offers the other one..! And that is the original of BUY ONE AND GET ONE FREE Did you ever notice that everything on a woman's upper body starts with "B"...
23 Reactions
83 Replies
5K Views
Unakuta mdada kavaa kitop halafu kwapa nje,inarusha stimu kwapa yenyewe imekomaa kwa kukwanguliwa kwa wembe kwapa nyeusiii....inaboa sana wengine tuna let muonekano wa kwapa na papuchi zenu...
13 Reactions
175 Replies
21K Views
Habari Waungwana, Kuna jambo limenikera sana, rafiki yangu bahati mbaya amechelewa kufika airport due to traffic. ikabidi amepigie mumewe cm amuelezee kua amechelewa na ndege imemuacha,bwana yule...
7 Reactions
130 Replies
9K Views
Wakuu, Mimi nimepanga hapa Dar. Kuna mwanamke naye anakaa Nyumba hii hii niliyopanga (anakaa na ndugu zake) Huwa tunawasiliana almost kila siku kwa simu, na juzi kati nilimnunulia vizawadi toka...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
ZA jioni wadau... kama kichwa cha habari kinavyojieleza sijui huu utamaduni umetoka wapi hadi kufikia mahali ukajegeka kichwani kwetu. Unakuta mwanaume unaenda kutogoza mdada ambaye ana maisha...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Msg hii imenitoa kwenye mood na usingizi wangu umepaa kabisa. Badala ya kulala naona kama kumeishapambazuka na siwez kulala tena. Mama mkwe ameniandikia... "Lala unono mwanangu. Leo nilikua na...
26 Reactions
268 Replies
29K Views
Habari wana jf hii ni story ya kweli kutoka kwa rafki yangu wa kiume Katika mahusiano yake ya mapenzi katokea kumpenda mtoto mmoja wa kike toka yupo kidato cha nne katika shule ya kata. Baada ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakati wazazi wako wakikuombea kwa M.mungu azidi kuzibariki kazi za mikono yako. Wewe unatumia kupapasa maziwa ya wanawake. Pumbavu kabisa Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my...
1 Reactions
4 Replies
580 Views
Kama kichwa kinavyojieleza .Nina demu wangu nachepuka naye ila hapa kati kaniacha hoi sana,ameweka ukaribu mkubwa na mshikaji mmoja hivi ambaye washawahi kuwa wapenzi.namuuliza kulikoni...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Habari, wanajamii forum kutokana na mazoea yaliyo kithiri (ulevi mbaya) ya kupiga punyeto(wanaume/wanawake) kumekua na matatizo kadhaa katika ndoa. JE kuna umuhimu wa kuanzisha "Sober Nyeto...
3 Reactions
96 Replies
9K Views
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Sijui kuna uhusiano gani kati ya kujifungua hasa mtoto wa kwanza na kupotea kwa ubora wa makalio.Wengi wanasinyaa, yanapungua au mpangilio unapanguruka kidogo. nilikuwa naona ila najisemea moyoni...
5 Reactions
147 Replies
10K Views
Jamaa yangu mmoja dr love , mr lover lover gudume ameandika thread moja akizungumzia namna ya kutongoza wanawake. Wengi wamempinga na wengine wamemuunga mkono. Nikajiuliza "kwa nini tuandikie...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi mtu unaanzaje kufikiria kupiga punyeto wakati una majukumu ya kutosha, Ukigeuka huku watoto wanakutazama huyu anataka Ada ya shule yule anaumwa mwingine ndio huyo unakuza utapata wapi nguvu...
12 Reactions
76 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…