shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,322
Habari wana jf hii ni story ya kweli kutoka kwa rafki yangu wa kiume
Katika mahusiano yake ya mapenzi katokea kumpenda mtoto mmoja wa kike toka yupo kidato cha nne katika shule ya kata. Baada ya kumaliza kidato cha tano huyu dada akachaguliwa shule za jinsia moja yaan "girls school" mfano tabora girls,loleza girls nk
Sasa juzi huyo mchumba wake akamtafuta kwa simu ya mwalimu wake na huyo mwalimu ni wa kiume huyo mchumba alikuwa anataka hela ya kutumia shule ,na jamaa akatuma hela na baadae akampgia simu kujulisha katuma hela baada ya kupiga simu akapokea mwanaume na ikamfanya apate mshangao kwa kutegemea shule za jinsia moja hazina walimu wa kiume. Na baada ya hela kupokelewa akamuambia atamfikishia
Baadae kuiangalia ile namba ipo kwenye whatsapp na kijana ni mdogo tu sasa anapata wivu kwamba hataweza kuibiwa kweli mchumba wake na anajiuliza kwanini mchumba amtafute mwanaume simu wakat walimu wa kike wapo au wana ukarbu sana
Sent using Jamii Forums mobile app