Ushauri: Nimjibuje Ma'mkwe meseji yake hii ya G9t

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
6,052
7,057
Msg hii imenitoa kwenye mood na usingizi wangu umepaa kabisa. Badala ya kulala naona kama kumeishapambazuka na siwez kulala tena. Mama mkwe ameniandikia...

"Lala unono mwanangu. Leo nilikua na siku ndefu lakn pia nilitingwa nikashindwa kukujulia hali. Vipi mipango yako imeendaje? Na mwenzio je, anaendeleaje? Nawaombea kila ninapolala ili usingizi wenu uzae matunda maana siku zinakwenda. Nawapenda sana, nisikucheleweshe."

Nawaza jinsi ya kuijibu, lakini najiskia kufadhaika pia
 
Back
Top Bottom