Wakuu kama kichwa cha habar kinavyosema
Nilikua na fahamiana na dem flan hiv mda mref tuu hata miaka imepita ila nilikua sjawai mtongoza,maana mi hua sitongoz,..mi tunazoeana tuu then namla.
Sasa...
Mke baada ya kumaliza kuoga akawa anabadili nguo chumbani, mume nae alikuwa amejilaza ila akawa amuangalia mkewe sasa mke akawa amevaa chupi kwa kuigeuza bila kutambua mumewe kaona kuwa chupi...
Mwanaume mara nyingi anakuwa mwepesi sana wa kuvutiwa au kupenda kuwa karibu zaidi na mtu anayemuhudumia , ndio maana ni muhimu sana kumhudumia mume wako wewe mwenyewe na sio kumuachia mtu...
Habari ya leo wapendwa,
Nimekuja mbele yenu na uzi huu kwa siku nyingine tena lengo likiwa ni kuweza kuendelea kutatua tatizo la upungugu wa nguvu za kiume kwa wale wanao hisi wamepungukiwa nguvu...
nlipata kumsikiliza mtumishi mmoja akizungumzia ndoa na ni kweli alichokuwa akisema. ulimwengu huu wa sasa ndo limekuwa jambo gumu sana na ndo maana vijana wengi hawataki kuoa au kuolewa.alitolea...
Vigezo.
1.Umri kuanzia miaka 30,
2.Maji ya kunde au mweupe wa asili na sio weupe wa dukani.
3. Awe anajishughulisha na kazi yeyote(sio utapeli)
4. Umbo la wastani, yaani mrefu kidogo na sio mfupi...
Alhamisi nlikuwa na mpenzi tumetoka sehemu flan asubuh tunaelekea sehemu flan.tukiwa barabaran mitaa flan akatokea traffic wa kike... allahamdullilah yule dada alikuwa huku nyuma mashallah... Ana...
Kama kuna Kiongozi wa Dini nchini Tanzania ambaye Kwangu ndiyo anaweza akawa ‘ Man of the Match ‘ hasa kwa mwaka huu wa 2018 ambao tunaelekea Kuumaliza basi ni huyu Pastor Sunbella wa huko Sinza...
Ndugu zangu!!!
Jamani nisaidieni katika harakati za kuchepuka na Secretary wetu wa ofisini.
Nikaanza kale kamchezo kakupiga deki, LAHAULA Mara paap!! nashangaa ulimi umenasa kwenye pàpuchi pale...
Habari wanajamvi,
Mimi naitwa Mjina Mrefu, nina umri wa miaka 35. Nilishaoa mke wa kwanza miaka sita iliyopita na nina watoto wawili wa kike.
Sasa ninaona ni muda muafaka wa kuongeza mke wa...
Kwenye mada direct.
Unakuta baba au kaka bila haya wala soni, akiona mwanamke mjane ambaye mumewe kamuachia mali nyingi, anajisogeza kujifanya anampenda na kumpa mapenzi moto moto (labda hata...
Kuna wakati binaadamu unaweza kujikuta ukitamani kupenda lakini kuna wakati unaweza kujuta kwanini ulipenda.
Hakuna aneichukia furaha pindi inapomuangukia katika himaya yake, lakini je kila...
Habar zenu wana
Kama kichwa cha habar hapo juu
Daah aisee hakuna kitu kigumu mno kama kuzuia hisia zako , yaan ukizoea kufanya mapenz halaf ukakosa kwa mda akili inakua haifanyi kazi yake vzur...
Nimeingia kwenye daladala siti ya wawili mwanaume kajitanuaa mguu mmoja huku mwingine kule ndo tabia gani?? Halafu asilimia kubwa ndio ukaaji wenu na mbaya zaidi mnapanua miguu huku mnatikisa...
Hello JF,
umri gani mliolewa/mlioa...
mna miaka mingapi ya ndoa?
are you happy and in control of everything that goes in your marriage...??
Nauliza yote haya sababu wanasema ukiolewa/ukioa...
Wanaume jamani hii kitu haifai kabisa jifikilie yeye kama binadamu kasikiza ushawishi wako akaamua akutunuku penzi kwa sababu zenu hakudumu sasa kila jamaako unataka ajue.
Mara huyu anajua...