Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa najiuliza kwa mini nikikutana na Manz mweupe nachelewa Sana Kuwatoa jamaa, tofauti na black, ambae vipushap vyangu vitano tu cha kwanza kishaeleweka n Nimegundua Hawa weupe hawa ni wazuri...
22 Reactions
581 Replies
57K Views
....salaam wana jukwaa: ....Lengo la uzi huu napenda kupata rafiki (best friend) diaspora. ....Rafiki huyu ninae tamani kukutana nae ningependa awe anaishi nje atleast kwa miaka kuanzia 4+...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Kama mjuavyo Jiji la Dar es salaam lina kila raha za mapenzi sasa wenzangu na mimi mnaopenda yale mambo yetu ya mapenzi si lazima uwe na pesa au vyeti/kazi nzuri kumpata mwanamke umtamanani. La...
3 Reactions
29 Replies
7K Views
Wanabodi, utakuta mashine ya mwanaume inafananishwa na ndizi, au bilinganya makalio ya mwanamke yanafananishwa na boga na vingine vingi na hata kwenye chattings siku hizi utakuta mtu anatumia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wandugu na jamaa....natumaini nyote ni wazima na wenye afya njema na wale wenye kuumwa Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hicho kigumu....... Kwanza kabisa tunatakiwa tujue Ndoa ni nini...
7 Reactions
15 Replies
8K Views
Ni mwezi wa pili sasa nikiwa nchi jirani hapa ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara. Ukweli pamoja na ratiba tuliyonayo ya siku kuwa busy, haisee upweke bado ni kero inayoninyima kuyafurahia...
3 Reactions
109 Replies
8K Views
Wapenzi Thomas Mould na Sandra Hyde wa Florida Marekani, wamefunga ndoa yao chini ya bahari baada ya miaka minne ya kuwa pamoja. Ukiambiwa uchague mahali pa kufungia ndoa kutokana na...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Ukisikia watu wanasema kama kusoma hujui hata picha itakufunza. Leo picha imenifunza imeniuma utadhani kanioa. Huyu mwanume nilidhani Tunapendana sana binafsi nmpenda kanipa nini? Hata sijui...
10 Reactions
82 Replies
11K Views
Florence Majani | Mwananchi KATIKA kile kinachoonekana kuwa baadhi ya wanawake wamedhamiria kumaliza hisia zao za kimapenzi wao kwa wao, biashara ya uuzwaji viungo bandia vya siri vya kiume...
0 Reactions
30 Replies
20K Views
Kwenye vitabu vya mapokeo kina mama wamepewa wajibu wao kama ilivyo kwa kina baba. "Enyi wake WATIINI waume zenu, enyi waume wapendeni wake zenu". Kina mama wengi walio kwenye mahusiano yenye...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana MMU. Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa. Mimi ni kijana Nina miaka 28. Natafuta binti anayejiheshimu na ambaye yupo tayari kuolewa kwa sasa. Dini...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanawake wa mikoani mkoje kwa nini mkitaka kwenda Dar mnaomba mtumiwe nauli??
7 Reactions
121 Replies
7K Views
Wadau salamu kwenu Kama kichwa kinavyojieleza japo mada ina ukakasi naomba tuijadili. Wanawake mseme mnataka kipi kati ya pesa au kufikishwa kileleni? Mimi binafsi naweza kutoa kimoja kati ya...
8 Reactions
220 Replies
21K Views
Nmeona niwaulize nyie ambao mliochukua maamuzi yakuingia kwenye ndoa ni sababu zipi zilizokufanya uka oa embu funguka Na hata dada zangu embu na nyie mfunguke
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Nawakumbusha tu wanaume wenzangu acheni kabisa kushika simu za wake zenu , We cha muhimu angalia kama papuchi unajipimia vile utakavyo,anakuheshimu kama mume au lah hapo stress,pressure na...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Zifuatazo ni sababu nzuri za Kiafya kama Mwanamke akifanya Mapenzi akiwa anatumika / hedhini. 1. Inapunguza maumivu kwa 75%. 2. Inasaidia sana na mno katika ' Ulainishi ' wa Uke. 3. Inamsadia...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwaka 2015 Nikiwa dodoma nilienda na deligation ya wazee flani kufanya kazi flani. mimi pekee ndiye nilikuwa nina under age of 30 na single boy wengine wote ni zaidi na wanafamilia na wengine...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini. Mpaka nilipofika sasa, nimepitia baadhi ya wanawake wa imani tofauti. Sasa nimetulia na mwanamke wangu. Ila niwe mkweli, wale ma-ostadhaat wengi inapokuja suala la seks hawapendi kutumia...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Tulikuwa na ile mada yenye ukakasi juu ya kinyama njia ya haja kubwa kwa mwanamke Tukumbushane kule kijijini zamani bibi zetu walipokuwa wakikata kile kinyama nyuma ya ashua ya kuku jike mara...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew. Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba...
12 Reactions
104 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…