Kwa sababu hizi za kiafya sasa mwanamke yoyote anaruhusiwa kufanya mapenzi hata akiwa hedhini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Zifuatazo ni sababu nzuri za Kiafya kama Mwanamke akifanya Mapenzi akiwa anatumika / hedhini.

1. Inapunguza maumivu kwa 75%.
2. Inasaidia sana na mno katika ' Ulainishi ' wa Uke.
3. Inamsadia Mwanamke kufika Kilimanjaro / Kileleni haraka kama siyo mapema.
4. Inamsaidia Mwanamke kupunguza Msongo wa Mawazo na kumfanya alale / apumzike vizuri kabisa.
5. Inamsaidia Mwanamke kupata hamu kubwa ya ' Kujamiiana ' na huwa anasikia Utamu wa Kutukuka na usioelezeka Duniani.
6. Inamsadia Mwanamke katika Kupunguza / Kufupisha Hedhi yake kitu ambacho Wanawake wengi wanakipenda sana.


Chanzo Taarifa: SwahiliTimes.com

Nawasilisha.
 
Hio no. 6 makahaba kwny madanguro hua wanakatisha hedhi zao kwa kuoshea k kwa kutumia konyagi wkt wakiwa hedhini-hii ni siriazi.

Na mpaka hapo mwsho umeweka msisitizo kabisa kuwa ni ' serious ' basi nina uhakika kabisa kuwa Mwenzetu Wewe ni Mteja wao wa ' Kutukuka ' kabisa a.k.a Mzee wa Manunuzi. Tumekupata Mkuu usijali!
 
Na mpaka hapo mwsho umeweka msisitizo kabisa kuwa ni ' serious ' basi nina uhakika kabisa kuwa Mwenzetu Wewe ni Mteja wao wa ' Kutukuka ' kabisa a.k.a Mzee wa Manunuzi. Tumekupata Mkuu usijali!
Hahah kwani wewe ni mtumiaji wa mbunye ikiwa inavuja mkuu?
 
Mkuu unamichango mizuri Sana kwenye majukwaa Haya ila nakushauri jaribu kubadili style ya uandishi guy. Fonts hizo zinasumbua Sana mandishi yanakuwa madogo Sana

Sasa kama ' Fonts ' zangu zina matatizo Kwako / Kwenu mbona umeweza Kusoma na hadi Kuchangia? Hili swala naona Watu wachache sana mnalalamika nalo ila labda leo hii kupitia tu Kwako niseme tena na kwa mara ya mwisho kuwa GENTAMYCINE sitokuja kubadili hii aina yangu ya ' Font ' kwani japo mnasema kuwa inawasumbua ila ndiyo inayonisaidia Kunitambulisha na Kunitofautisha na wengine halafu naipenda kama ambavyo napenda ' Mbunye ' vile vile. Imarisheni Afya zenu hasa za Macho ili muwe mnaenda sawa na Mimi kama ambavyo Watu wengi tu hapa Jamvini huwa hawana shida nayo.
 
Mkuu wakati mwingine unaamuaga kulisha watu matango pori, na hivyo vyanzo vyako vya taarifa havina nia nzuri na afya za watu. Mfano, baadhi ya wanaume wakishiriki mapenzi na mwanamke aliye katika hedhi tumbo sehemu za chini husokota.
 
Back
Top Bottom