Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,573
- 16,365
Good morning everybody!
Nyie madem sometimes lawama mnatafuta wenyewe, ona hii:-
Juzi niliwakuta madem wawili nikawapa lift na katika wale wawili mmoja alikaa seat ya mbele na mmoja nyuma. Frankly speaking huyu aliyekaa mbele alikua so beautiful and alini impress but nikaamua kukaa kimya. Baadae wamefika destination yao wakashuka nami nikaendelea na mishe zangu. Jioni dada mmoja akanitafuta akasema namba yangu kapewa na rafiki yake nikamuuliza kati ya wale wawili wewe ni yupi!!? akajibu ni yule aliyekaa seat ya mbele nikaona yes embe chini ya mkorosho. Bas tukachat then tukapanga apointment..... ile tumemeet nakuta alinidanganya sio yule aliyekaa seat ya mbele aisee nilimind kimoyomoyo badae nikaaga nikasepa. Badae anaanza kunilaumu mbona unanikaushia, hata salam hamna n.k... Aisee nyie madem saa zingine muwe mnaacha ujuha shenz type.