Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?
1 Reactions
63 Replies
10K Views
Mara kadha vijana kupata wenza imekuwa ni changamoto sana,wengi wameumizwa,wengine waliachiwa kulea watoto na wengine hawakufikia ndoto zao. Nachukua nafasi hii kualika marafiki 10 tu kuhudhuria...
4 Reactions
116 Replies
7K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Dk Martin Shao, amekosoa utamaduni wa wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro, ambao wengi ni Wachaga, wa kuzikana nyumbani...
5 Reactions
104 Replies
15K Views
Ni kitu ambacho nime experience baada ya kuumizwa na first love wanawake wengine waliofuata ilikua easy sana kuwa nao na kufanya move pale ilipohitajika. Why inakua hivi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni report ya kutoka tume ya haki za binadamu. Anasema dr kijo bisimba. Watu wa jinsia ya kiume mliopo dar na pemba.achaneni na kutafuta unga wa kongo na kudhani uanaume ni kuhonga tu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
My next relationship will be my last I really haven’t done much dating. I had one serious relationship, fell in love a couple more times for short periods, did a lot of “exploring” — to put it...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Me siamini maneno yenu kwamba kabla ya kufanya mapenzi mnatushauri tukapime.sasa Mimi nachoona hayo yatakuwa sio mapenzi hio itakuwa ni Kama mchezo wa kuigiza.sisi hatutaki kusikia hizo habari...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Matukio ya watu kulea watoto ambao sio wao yamekuwa yakileta mifarakano katika jamii kwa miaka mingi. Utakuta mtoto analelewa kwenye nyumba ya baba mnyamwezi lakini ukimwangalia pua na masikio...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Sababu gani iliyofanya kuachana/kutengana na mpenzi wako wa zamani ambaye kwa sasa ni EX wako?
3 Reactions
134 Replies
13K Views
mwaka 2014 nilipokua nasoma chuo kikuu DSM nilikua nimepanga gheto maeneo flani uswazi huko nikiwa na mshikaji wangu, sehemu ambayo tulipanga kulikua na mtoto mmoja mkali kiasi flani shombe...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wana MMU, Katika miezi hii miwili mitatu, nimepata zali sana la warembo. Wengine nimewapotezea wengine sikuweza kuwavumilia zaidi ya kuweka muwa kwenye rambo. Juzi kati amekuja mtoto...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
#Yani kama ni mwanaume hata kama uhudumie familia yako kwa kiasi gani kama mkeo humridhishi kitandani hesabu maumivu. #Mwanamke fanya kila kitu lakini kama humridhishi mwanaume wako hesabu...
8 Reactions
139 Replies
13K Views
Katika maisha ni swala la kugawana majukumu!watu wanaoamini mwanamke pesa tu acha waamini hivyo!Lakini mimi nina amini sana katika kumgegeda mwanamke hadi akae wiki nzima hana hamu! Kuna demu huwa...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana ,24 ...nimekuja hapa mjini tangu 2014, nikitokea kijijini kwetu mtwara. Hapa skua na ndugu hata mmoja Ila nmehaso angalau nimepata kibanda cha kuegesha mwili...
4 Reactions
97 Replies
11K Views
Jamani hakuna mtu anahela mila siku lakini sinza wamezidi yaani kwa sisi ambao tumekulia mitaa hiyo ni balaa ,mtu anakaa baa na kabia kamoja macho huku na huku akikuona anayekujua ni makelele...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF, Kama kawiada yetu, sisi wengine (wenye roho zetu safi) hua tunasaidia kutangaza nafasi za kazi, zikiwa zinahitajika popote pale. Sasa nimekutana na hii moja ya huyu Mrembo Jane...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwenye mapenzi napenda kuwa huru!sipendwi kubanwa,sipendi kutumiwa sms kama za promission kila dakika baby sijui nini mara baby mara umekula!wakati hata nikikwambia sina pesa ya msosi huwezi...
7 Reactions
137 Replies
11K Views
Yeye bibie nilimkuta yupo na mtu...ila hakunambiaga... Mimi nikazama mzima mzima...nikiamini ni wangu wa maisha...kumbe tukiwa shuleni/kwetu DSM ni wangu...ILa akirudi kwao mkoa fulani kaskazini...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Weka maneno wewe waonaje mdau mwenzangu
0 Reactions
7 Replies
803 Views
Kuna binti mmoja tulipendana huko miaka ya nyuma around 2013.Ni binti smart na wife material mno though binafsi nilijikuta moyo baadae hauridhiki na mwonekano wake. Basi kama mjuavyo moyo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…