OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,021
- 114,388
Pengine wengine tumekuwa juzi tu hatujakutwa au kujionea mambo ya ndoa na mahusiana yanavyokuwa. Hivi ni kweli kuna kupigwa limbwata ukawa kama zezeta au zuzu?au ni mwanaume kukolea tu mahabat yakamfanya kila kitu kuitikia tu "ndio....ndio"
Kama kweli lipo wadau mtupe ushuhuda,ni halo gani hasa ya kustajabidha anakuwa nayo mwanaume kutofauti na hali ya mapenzi ya kawaida.
Huku usukumani nasikia kuna kulishwa nyama iliyovundikwa sehemu za siri wiki mbili