Morning.
Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years .
By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma.
Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na...
Kanitumia hivi
HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana .
Awe anaishi dar , awe anafanya kazi...
Eti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha?
Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande...
Wakuu,tupeane vesi za kujinasua katika wakati mgumu.
Hivi umewai kuchati na madem wawili kwa wakati mmoja,alafu ukakosea ukachanganya msg ya Dem A ukamtumia B.
Alafu msg yenyewe ikawa ngumungumu...
Wakuu, tumepanda basi kutoka Songea, tumeingia Makambako muda huu na basi linaishia hapa.
Kuna dada tumeshuka naye, anaenda Kyela huko.
Anazungumzia kuhusu kwenda kusimamisha magari ya private...
Mwanamke anaestahili matunzo ya mwanaume ni mke. Mke akiwa mama wa nyumbani hapa mwanaume anawajibika kubeba jukumu lote la ustawi wa kiuchumi kwenye familia, mke akiwa anafanya kazi/biashara siku...
Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na...
Wakuu kwema??,.
Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?
Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka...
nimehangaika Sana kutafuta mke mtaani ila sipati, nimekuja huku jf kuleta ombi langu natafuta mke awe mkristo miaka 25- 30 asiwe na mtoto
awe tayari kupima , awe na upendo wa kweli,
mimi na miaka...
Habari zenu ndugu.
Tafadhali husikeni na mada tajwa hapo juu.
Natafuta mwanamke wa kufanya nae maisha. Awe mwenye hofu ya Mungu, anayejielewa na kuwa na focus ya maisha.
Awe anapatikana kigoma...
Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua?
Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda?
Mwisho kabisa...
Utovu wa nidhamu kwa mtoto huwa kunahusisha tabia zifuatazo
#mtoto kuanza tabia ya wizi, utoro shuleni, kufanya udanganyifu kwenye mitihani, kuharibu mali kwa makusudi
#kutoroka nyumbani...
Mwanamke mmoja wa Nigeria anayeenda kwa jina la Jennifer, amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume Emmanuel 30,000 ambayo...
Mzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.
Mke wangu alisafiri...
Bwana Yesu asifiwe mwanadamu.
Tujifunze mambo haya kwani yatatusaidia:
Dhambi ni nini?
Dhambi ni uvunjaji wa sheria ya Mungu na kutotii mapenzi ya Mungu. Ni tendo, wazo au msimamo unaokwenda...
Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu...
Asalam Alaykum.
Nahitaji mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 28
Mrefu
Mwembamba
Muajiriwa.
Sina mtoto.
Sifa za mwanamke naemuhitaji
Muislam
Anaevaa stara.
Asiwe na mtoto...
Hey wajaa!
Kumbe huko ndoani, kuna njegeka hivii? Watu na ndoa zao mjinii, afu sio shida zao sasa.
Ktk kitu nachochukia na sipendi ni UNAFIKI na KUTOJIKUBALI/ KUKUBALI UHALISIA, kwann uzunguke...
Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida
Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili
Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?