Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

++ Ukimuuliza binti yeyote mwenye ndoto ya kuolewa,,akutajie sifa za mume ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa ktk orodha ya mwanzo kabisa.Ktk utafiti binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74...
22 Reactions
146 Replies
45K Views
Katika pita pita zangu zote za kupokea Aina tofauti tofauti za utamu kutoka kwa watoto wakali jana kwa mara ya kwanza nimeupata utamu kutoka kwa mtoto wa kusini huko kwa matajiri wa korosho mtoto...
3 Reactions
33 Replies
9K Views
[emoji36][emoji36]
1 Reactions
5 Replies
725 Views
Wasalamu ndugu wanajukwaa, nimekuwa nikijiiuliza sana ulazima wa mwanaume kuoa lakini hadi sasa nilichugundua sanasana ni kujiongezea wingi wa mambo katika maisha wakati mwingine ni kujipa stress...
3 Reactions
77 Replies
7K Views
Swali kwa wadada endapo imetokea hujatongozwa kwa zaidi ya mwezi,miezi miwili au mitatu Ni mawazo gani huanza kuja kichwani?maana me na uhakika hata ukiwa mzuri Sana inatokea tu Kuna kipindi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwamba kuna aina mbili za Wanawake kama zifuatazo: A. Mwanamke ambaye ukiwa nae tu Kimahusiano hata kwa Siku moja mambo yako mengi yanafunguka na unaanza kupata mafanikio mpaka unashangaa na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi.. Mara ya...
8 Reactions
207 Replies
21K Views
Ipo mitizamo mingi kuhusu Uongo katika Mahusiano Ni jambo zuri kuwa mkweli katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa lakini kuna muda UONGO unahitajika ili kuimarisha mahusiano. Siyo kija jambo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
nna mpenzi wangu nampenda sana, nataman Mungu akijalia nifunge nae pingu za maisha, ni msomi na smart, namwaminia sana, ila anachonikwaza ni kuniita "MY", na karibu kila msg yake aniite "MY" na...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Wangapi huwa tunakumbuka hili
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naamini mpaka sasa kuna hasa wanachuo ambao wamekaa tu home wakisubiri siku vyuma viachie au uchaguzi ukaribie wapate ajira future iendelee Naomba nikumbushe kitu kuhusu maendeleo...maendeleo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo Chai yako utakunywa/Ulikunywa na kitafunwa gani? Binafsi niko na uporo wa wali maharage hapa bila kusahau ngadu(samaki kamba ) pembeni wa kukaangwa nitakomaa nao mpaka mwisho . Cha mchana...
4 Reactions
83 Replies
6K Views
Usipo mshughulisha mkeo/Mpenzi wako kwa kumpa mkito ya kibabe siku akikutana nayo ujue umeachwa nakama mmezaa naye watoto basi utakuwa unachitiwa! Hata kama hana Maji yatafute uhakikishe...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Tangu ni fanikiwe Ku move on jaman najiona nimebadilika sana sina mzuka wa mapenzi kabsaaa yaan Niko wa baridi sana kwanzia moyoni sina feelings na mtu yeyote .. Ata nkikutana na mtu wangu...
2 Reactions
106 Replies
10K Views
Kwan nyie wanaume alie waambia kulipa mahali yote ni dharau nan? Toka nimekuwa sikuwai kisikia mtu akisema hadaiwi mahali wote utasikia mahali nusu kwa nn lkn.
10 Reactions
110 Replies
9K Views
Habari za alfajiri wakuu wa Jf. Kuna jamaa yangu anaomba ushauri katika hili lifuatalo. -Yeye ni mwajiriwa, mke wake ni mwajiriwa ila yeye anaishi mkoa mwingine mbali na familia yake na ameichoka...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kila nikipata zangu kishikwambi nikimpeleka maghetoni nilikopanga mke wa baba mwenye nyumba ananinunia, asa najiuliza kwa nini ananuna? Au anataka niende nae wapi jamani, wakati nyumba ya kupanga...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 34 ninahitaji mwanamke mwenye umri kati ya 22-26,mkristo (romani) mwajiriwa au hana ajira,cheupe au maji ya kunde,kama amezaa awe na mtoto 1,mwenye nidhamu
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Sasa Vijana tuna kazi sana, hususani ukiwa ndo unaanza maisha umepata kazi yako Kabla sina kazi nilikuwa naweza kuwa kwenye mahusiano na madem hata watano na hakuna hata mmoja anaekupiga kazi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…