Wanaume acheni dharau basi; Malizeni madeni yenu ya mahari

Nyingine mwanamke anatakiwa aje apambane ili amalizie,mahari ni shukurani hivyo nikilipa yote nakuwa kama nimenunua mke
 
Heheheheheeeeee Elombe Kichiiiiiiinja,
nataka siku nitakapowowa nilipie mahari kwa njia ya bank...wakwe zangu watakuwa wanaenda kuchukua kwa kila mwezi kama mshahara na fedha hii ya mahari haitatoka yote kwa kila mwezi itakuwa inatoka 50,000/= (elfu hamsini tu) nyingine itabaki bank na hata kama wakilazimisha kuitoa yote haitatoka
Ikitokea tumemwagana na binti yao ....guess what next!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom