Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Makubwa! 'I'm suing my parents for giving birth to me'
1 Reactions
0 Replies
897 Views
Habari ndugu zangu. Kuna jambo nataka niwashauri wanaume kuhusu suala la kuoa wanawake zaidi ya mmoja. Naona hata kama wewe ni mkiristo jitahidi uoe zaidi ya mmoja maana hapo ndo wake zako...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Niko kwenye ndoa kwa muda sasa lakini changamoto zake sijaweza kuzishinda zaida ya kuvumilia tu je wenzangu vp
15 Reactions
384 Replies
29K Views
Sijawahi na katu sitowahi shiriki dhambi ya usaliti hasa kutojali hisia za mwenzio Ila kinyume chake mara tatu nimekanwa, 1. Nilimpenda huyu binti sana kiasi kwamba nikajizuia kufikiria yoyote ya...
14 Reactions
137 Replies
8K Views
Mimi nimegundua moja la ajabu sana ila ni ukweli bikra inayotolewa bila ndoa huondoa aibu(haaya) ya asili aliyonayo mwanamke yaani hata anaweza akavua mbele za watu na wala asione shida wala...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwaka Fulani Rafiki yangu mmoja aliamua kuacha kazi baada ya kutokuwa na maelewano na bosi wake kwa muda mrefu. Akahangaika wakamlipa kiinua mgogo chake, akaanzisha biashara ya kuuza Mbao pale...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Mwanaume Huna Kazi, Huna Pesa, Huna muelekeo wowote wa maisha, Huna Nguvu ya kutongoza kwakua huna nyuma wala mbele. Ukibahatika kupata mwanamke mwenye pesa, ukaoana nae, Lazima akutawale maana...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Ukiona baba yako anakusumbua na kukuwekea masharti mengi nyumbani kwenu mfukuze mwambie akaishi kwa baba yake maana wewe hapo ni kwa baba yako...[emoji1614] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
867 Views
Nilibahatika kuwa karibu na binti mmoja hivi ambaye aliniomba ushauri alikuwa anataka kuachana na mumewe na alitaka kutoroka amuachie watoto,nikamketisha chini nikampa ushauri nikamwambia...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Kwenye Maisha, Kuna vitu vinaweza kukuweka kwenye wakati mgumu usijue ufanye kipi na kwa wakati gani kwangu, hili lililonikuta mwenzenu naona kabisa...naenda kusababisha mgogoro mkubwa sana kwenye...
4 Reactions
64 Replies
6K Views
"pay before bill" ni tangazo nililolikuta chumbani kwa mdada mmoja wakati naenda kumtindua ghetoni kwake, Hakika sikuongea nilichofanya ni kuzama mfukoni na kutoa mwekundu mmoja na kifaru kwa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wanajf! Niende kwenye mada husika moja kwa moja. Jamani wanaume kuna wakati tuwe wawazi tu katika mahusiano yetu kuwa ni ngumu sana kwa mwanaume rijali kuwa na mke mmoja! Najua wapo...
5 Reactions
105 Replies
11K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
2 Reactions
33 Replies
5K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
4 Reactions
62 Replies
5K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
12 Reactions
249 Replies
33K Views
Moja ya mambo ambayo wazee wengi wa miji wameshindwa kujizuia ni hili swala la kuwatafuna mahouse girl. Mpaka sasa hivi nimeweza kwani mke wangu yupo masomoni nje ya mkoa niliopo na kwa muda mrefu...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Uvaaji wa shanga miguuni au kikuku ni urembo wa Muda mrefu hasa kwa kabila LA wamasai,..tukiachana na wamasai kwenye jamii nyingine wavaa vikuku wanaonekana wahuni, Ila upande mwingine wanatetea...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni mwaka wa Pili sasa tupo kwenye ndoa, nimejuananae toka tupo chuo mwaka wa kwanza. Tuliishi pamoja ghetto hadi tunamaliza chuo, ivo namfamu vizuri Mke wangu na yeye ananifamu vizuri. Mara...
13 Reactions
81 Replies
9K Views
Wakuu habari zenu, Siku yangu ya Leo imekuwa mbaya zaidi nimesoma habari imeniondolea furaha yangu kabisa, sitaki kuelezea zaidi kuhusu hili Ilikuwa ni ndoto yangu ya mda mrefu kulea watoto wasio...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…