Madada poa na kazi za ziada

Dharra

JF-Expert Member
Jun 23, 2017
1,622
2,000
Mwaka Fulani Rafiki yangu mmoja aliamua kuacha kazi baada ya kutokuwa na maelewano na bosi wake kwa muda mrefu. Akahangaika wakamlipa kiinua mgogo chake, akaanzisha biashara ya kuuza Mbao pale buguruni na aliamua kukomaa kweli maana alikuwa anafanya kazi kuanzia kumi na mbili na nusu asubuhi hadi saa nne usiku. Mimi pia kwa kipindi hiko niliajiriwa na kampuni fulani pale Tazara, nilijiwekea malengo ya kumsapoti rafiki yangu walau kwa maongezi, sasa kuanzia saa kumi na moja jioni nilikuwa nae hadi saa nne usiku anapofunga kazi. Miongoni mwa tuliokuwa na mazoea nao pale Bunguruni ni dada mmoja mrembo kutoka Arusha ambae ukiambiwa anajiuza hotokaa uamini hata siku moja kwa jinsi Mungu alivyombariki uzuri wa sura na mwili, tukamchukulia kama Rafiki na bila ya matamanio, tulimshawishi sana aachane na kazi ile bila ya mafanikio. Siku moja akatusimulia jinsi shefa mmoja akiwa na Rafiki yake walivyombeba kwenye Prado hadi Mbezi Beach saa sita usiku. kufika huko wakiwa wawili na mwenzake walivyowekewa mitutu ya Bastola na kuamriwa kuosha maiti na kisha kuivalisha suti. Walikuja kutupwa Ubungo saa 11 Alfajiri na hawakulipwa hata senti. Sasa wiki hii inaendelea Rafiki yangu mmoja aliepo UK amenisimulia jinsi alivyopiga simu kwenye escort agency moja UK na kuomba dada poa mmoja walau aje ghetto kumpikia chai na kumpa kampani baada ya kuugua mafua makali sana kwa masharti ya kutokufanya ngono. Ananisimulia kuwa alipata treatment nzuri sana mpaka akamkumbuka Mama yake home Kinondoni jinsi alivyomlea kwa mapenzi makubwa akiwa mtoto. Najiuliza hapa Ndugu zetu hawa wakiwa kwenye kazi zao huwa wanakabiliana vipi na changamoto kama hizi kumridhisha mteja?
 
shatisuruali

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
602
1,000
Huyo maiti anaitwa nani? Maana Kuna muda na kaa nawaza wee.. Nikienda sokoni nkirudi upepo tu unaweza jikuta unasinzia mikono yote inalima maharage huwezi jua maana watoto Wa siku hizi bwana we ukaetuu peke yako uone
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,196
2,000
wanawake ni sawa na mishumaa, hata kama ukiwachoma kwa moto bado watabiki ni wale wale japo kwa umbo tofauti..kimsingi mambo wanayokutana nayo ukisimuliwa walai utacheza movie ndefu zaidi ya tamthiria ya isidingo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lhera

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
1,848
2,000
Mwaka Fulani Rafiki yangu mmoja aliamua kuacha kazi baada ya kutokuwa na maelewano na bosi wake kwa muda mrefu. Akahangaika wakamlipa kiinua mgogo chake, akaanzisha biashara ya kuuza Mbao pale buguruni na aliamua kukomaa kweli maana alikuwa anafanya kazi kuanzia kumi na mbili na nusu asubuhi hadi saa nne usiku. Mimi pia kwa kipindi hiko niliajiriwa na kampuni fulani pale Tazara, nilijiwekea malengo ya kumsapoti rafiki yangu walau kwa maongezi, sasa kuanzia saa kumi na moja jioni nilikuwa nae hadi saa nne usiku anapofunga kazi. Miongoni mwa tuliokuwa na mazoea nao pale Bunguruni ni dada mmoja mrembo kutoka Arusha ambae ukiambiwa anajiuza hotokaa uamini hata siku moja kwa jinsi Mungu alivyombariki uzuri wa sura na mwili, tukamchukulia kama Rafiki na bila ya matamanio, tulimshawishi sana aachane na kazi ile bila ya mafanikio. Siku moja akatusimulia jinsi shefa mmoja akiwa na Rafiki yake walivyombeba kwenye Prado hadi Mbezi Beach saa sita usiku. kufika huko wakiwa wawili na mwenzake walivyowekewa mitutu ya Bastola na kuamriwa kuosha maiti na kisha kuivalisha suti. Walikuja kutupwa Ubungo saa 11 Alfajiri na hawakulipwa hata senti. Sasa wiki hii inaendelea Rafiki yangu mmoja aliepo UK amenisimulia jinsi alivyopiga simu kwenye escort agency moja UK na kuomba dada poa mmoja walau aje ghetto kumpikia chai na kumpa kampani baada ya kuugua mafua makali sana kwa masharti ya kutokufanya ngono. Ananisimulia kuwa alipata treatment nzuri sana mpaka akamkumbuka Mama yake home Kinondoni jinsi alivyomlea kwa mapenzi makubwa akiwa mtoto. Najiuliza hapa Ndugu zetu hawa wakiwa kwenye kazi zao huwa wanakabiliana vipi na changamoto kama hizi kumridhisha mteja?
Daaah ila wameamua wenyewe ila hii kazi inachangamoto sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dharra

JF-Expert Member
Jun 23, 2017
1,622
2,000
Unajua hii biashara ni ya mda sasa na asikwambie mtu ipo dunia nzima ingawa kuna baadhi ya nchi ni ruhusa na inchi zingine sio ruhusa ingawa inafanywa. Utashangaa kuna watu hapa JF wanaisifu sana Pattaya lakini kule hawajaruhusu hio biashara ingawa ipo kwa kiasi kikubwa. Unaweza kudhani katika familia yako hakuna anaejihusisha lakini huwezi kujua. Dada yako ama binamu yako yupo shule ya bweni ama yupo chuo, huwezi kujua linapoingia giza anaenda wapi na anafanya nini. Kuna mfanyakazi mmoja wa benki posta amefiwa na wazazi wake na amechukua juhudi za kumsomesha mdogo wake wa kike pale chuo flani town, jamaa ameweka pembeni wazo la kuoa kwa sasa ana concentrate kumsomesha mdogo wake tu. Karibu hapa watu wakamtonya dogo wake pale chuo anamiliki ndinga hata yeye jamaa na kazi alonayo hajawahi miliki. Kumuweka mtu kati dogo kakiri usiku anaenda kiwanje flani kudanga kapata shefa imemnunulia gari. Jamaa alikaribia kujiua…. Huwezi kujua tabia za mtu, sana sana ni kumuomba Mungu tu wakuu.
 
Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,280

Ukienda viwanja vya maana achana na hivi viwanja uchwara unakutana na Hawa binadamu walai mungu alitulia Sana kipindi anawaumba, Sasa unajiuliza why wanajiuza maana Ni wazuri balaaa na matumizi yao Ni ya gharama ile mbaya
Sitaki niwe muongo mm nimewachezea sana. . Nikimkuta mrembo mkali tunakubaliana kupima damu kwanza na magonjwa ya zinaa then naanza kuula utamu.. haiwezekani huo utamu unipite aisee
 
Anotherperson

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
501
500
"Utafiti unaonyesha watu mnaoshindwa kuuelewa huu uzi hata kwa kujiongeza ndio watu mnaomwelewa sana jiwe na maneno yake matam ya moja kwa moja"

Na ndio nyie mnasababisha unafk ukue

Uzi unaeleweka hivi:
MBALI NA KAZI YA UDADA POA UNAJUA MAMBO/SHUGHULI NYINGINE WANAZOJIHUSISHA NAZO HAWA WAREMBO?
 
TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
793
1,000
Nahisi kama vile kuna uongo nyuma ya hii hbri, Kuosha Maiti! Alafu kutupwa buguruni! Why wasiende kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama? Na Location waliitambua kua ni Mbezi Beach? Gari iliyotumika Prado je namba za iyo gari pia walishindwa kuitambua? Uzi wako mkuu kichwa cha hbri Kiko sawa ila ndani yake kuna ukakasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dharra

JF-Expert Member
Jun 23, 2017
1,622
2,000
Ukienda viwanja vya maana achana na hivi viwanja uchwara unakutana na Hawa binadamu walai mungu alitulia Sana kipindi anawaumba, Sasa unajiuliza why wanajiuza maana Ni wazuri balaaa na matumizi yao Ni ya gharama ile mbaya
Sitaki niwe muongo mm nimewachezea sana. . Nikimkuta mrembo mkali tunakubaliana kupima damu kwanza na magonjwa ya zinaa then naanza kuula utamu.. haiwezekani huo utamu unipite aisee
Mkuu Witmak255 mi nadhani kuna siri Fulani hivi kwa hawa ndugu zetu nje ya kujipatia kipato. labda wengine ndio kama tunavyosikia wapo kazini wakiitumikia serikali ama taasisi Fulani hivi za Kijasusi. Haiwezekani mtu anatinga maeneo hatarishi 90% akiwa uchi lakini anakokota harrier new model na muonekano wake si wa umasikini….. kuna namna hapa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom