Ndoa hizi zitatuua.
Jamani ipo hivi. Mimi ni mume mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani...
Hili tukio lilishanisibu jamani yani mpaka leo siwaamini kina dada japokua siyo wote.
Ila namshukuru Mungu nilisahau mapema na maisha yana songa kama uko kwenye mahusiano bora utulie tu na mtu...
Kuna kitu wanaume huwa hawa admit mana wanaona kukubali hii ni kama sio urijali, ila unaweza ukatokea tu unamkubali jamaa fulani naturally, labda ukimuona au kumsikia, haimaanishi kwamba wewe sio...
Za saizi wajumbe?
Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani.
Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana "
Sasa...
Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na...
MAMBO SABA (7) AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:
Katika Mambo haya inategemea Aina ya maisha mnayoishi na mumeo lakini wanaume wengi wapo hivi.
1__.MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA:
Hata Kama...
Habari zenu watu wa mapenzi?
Hivi ni criteria gani hapa mjini inayofanya mtu uitwe mubaba na hutu tubinti twa 2000?
Iko hivi kuna siku nilikua bar ya komida kimara temboni na jamaa zangu,tumekula...
Hapo vip!!
Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda...
Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata...
Niliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa.
Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tukaandaa matumbo ya chakula kizuri.
Chakula kimeiva, kila...
Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo.
Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au...
Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ?
Nataka kufaham tu, kama hulijui...
Wadau,
Kutokana na mikasa mingi ambayo nimewahi kuipata na pia kusikia kwa ndugu, jamaa na marafiki nawashauri sana kuna mikoa msikanyage kabisa hizi ni story za kweli na nimezikatisha sana ili...
Ukahaba umeshamiri sana hapa nchini ktk zama hizi. Lkn kwa kuwa tumeamua kuwa wanafiki kwa kutokuitambua rasmi biashara hii, makahaba wanaifanya ktk mazingira ambayo siyo salama kwao.
Laiti kama...
Wanaume mliooa
Mchezaji anayecheza mara kwa mara lazima awe imara na mwenye nguvu na bora uwanjani!!
Mtangazaji anayetangaza mara kwa mara lazima awe imara pia
Vile vile kwa wahubiri...
Kuna binti mmoja kazini kwangu ni rafiki yngu wa kawaida Ambaye tunashirikiana vitu baadhi
Sasa sababu ya kuja hapa jamvini ni kuhusu tabia ya huyu binti.
Mimi nimeoa yeye hajaolewa na hapa...
MTIHANI WA TAIFA WASOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025.
JIBU MASWALI YOTE.
Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂
1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha...
Salam bandugu
Je umeshakutana na hii?
Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe...
wanawake wengi hapa tanzania wanadhani kila mwanaume akitoa msaada huwa ni kwa QUID PRO QUO (Nikune mgonngo nikukune wako)
Imekuwa ni too much kila unapotoa msaada unaweza kudhani yameisha kila...
Wakuu,
Kuna umuhimu wowote wa mwanaume kumnyonya uke mpenzi/mke wakati wa kufanya mapenzi? Je kuna madhara gani kwa anayenyonya na kunyonywa wakati wa tendo hilo?
Natamani kumnyonya mchepuko wangu...