Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.4K
Threads
7.5K
Posts
210.4K

JF Prefixes:

Wapendwa mu wazima wote? napenda kuadhimisha miaka yangu 3 ya u-single baada ya x wangu nimpendaye kinoumah kaniacha, nikitumaini ipo siku nitampata mmoja mzuri zaidi ya yule wa mwanzo. Pia...
8 Reactions
100 Replies
7K Views
Wakuu, Nipo kwenye ndoa huu mwaka 3, natafuta mtoto sipati. Baada ya mke wangu kukosa hedhi huu mwezi nimeamua kununua kipima mimba,nimechanganyikiwa kuona mstari mmoja. Sipendi michepuko lakini...
2 Reactions
65 Replies
12K Views
Bado najiuliza hivi ni kwanini wanawake hamuwezi kutunziana siri ?..Urafiki wenu ni wa mashaka sana yani hamnaga kifua cha kutunziana mabaya na mazuri ya rafik zenu..why? Binafsi nimeshuudia pale...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kipindi nasoma sekondari tulikuwa na kijimsemo kuwa TIME IS MAKANGABILITY tukimanisha muda haupo upande wetu yaani tumechelewa. Naomba nitoe onyo kwa akina dada hasa wasomi ambao ndiyo huwa...
63 Reactions
451 Replies
36K Views
Shangee, Jamani kina baba nakuusieni wakati mnapotafuta wenza wa kuwaoa uzuri usiwe kigezo cha kuona kua mwanamke huyo atakupa faraja. Wanawake wote ni pasua kichwa ukimchagua kwa uzuri wake...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Ntaanza na mie mleta mada,wapo wengi walofanikiwa kunisomesha namba tena zile za kirumi,but wachache niwakumbukao ni hawa. 1.Alice 2.Anna 3.Irene 4.Sandra Na nyie wakuu tajeni hapa majina ya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Sijui kwanini me sipendi warembo wanene,yani akipita kimbaumbau utaona mijicho inavyonitoka. Sijui ile wanaita misambwanda na mimi vitu viwili tofauti,siwezi kupoteza mda wangu kugeuka nyuma...
7 Reactions
152 Replies
27K Views
Jamani nimegundua kama ladha ya papuchi ingekuwa moja kwa wanawake wote swala la kuchepuka lisingekuwepo,lakini kwa hali ilivyo sasa, vijana kusimuliana vijiweni utamu wa papuchi alizokutana nazo...
17 Reactions
294 Replies
25K Views
WEWE SIO MWANAUME, ILA HUU NDIO UANAUME. Eti mwanaume unaoga mara 5 kwa siku sasa sijui huyo dada yako yeye ataoga mara ngapi akiwa Period. Mwanaume upo room kwako eti unasikiliza nyimbo za...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
  • Redirect
Ni kweli kila mtu anachaguo lake lakini yupi zaidi ,na ni staili gani ya kuwagegeda waridhike?wazoefu toeni maoni! Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
Replies
Views
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kama ni kweli kwamba watu ambao ni wembamba ni bora zaidi ya watu wanene. Nimelazimika kufanya utafiti kwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali wa ndani na...
3 Reactions
148 Replies
34K Views
Hii imekithiri kiukweli wanaume mkiamua kutulia mkaacha michepuko mkaridhika na mliokuwa nao hakika waganga watamrudia Mungu wao wataachaa maana wateja hamna. Wanaume mmezidi mnatesa wanawake...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Wahenga walisema chozi la samaki linakwenda na maji mimi nasema chozi la mwanamke humlaani mwanaume aliye umiza moyo wake. Mara nyingi mwanamke huingia katika mahusiano ili kuitetea amani ya moyo...
8 Reactions
79 Replies
12K Views
I hope mko salama ndugu zangu Nisiwachoshe nanyooka mazima Yapata wiki ya tatu sasa kila nikishika simu ya mke wangu nakuta charts zake na mtu anayedai ni ndugu yake. Nimehoji mara kadhaa na...
2 Reactions
175 Replies
13K Views
SAMUEL ETO'O WRITES: "I met my wife when I was still an amateur footballer in France. FC Nantes refused to take me but my wife always believed in me. I had my little Camer accent car and she was...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf! Karibuni kwa makala hii hapa! ✍ Kwa utafiti uliofanywa na Bi Lea Rose Emery huko uingereza, alibaini kuwa mahusiano ya mtu ya kwanza ndiyo mahusiano sahihi katika maisha...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
  • Redirect
HABARI FAMILIA.TUTAFAKARI KIDOGO HAPA. Ktk kujitafakari na kupitia matukio ktk picha hasa ktk mitandao ya kijamii! Nmekuja kugundua skuiz kuna wimbi kubwa la picha za engagement! Sio tatzo hata...
1 Reactions
Replies
Views
Swalaaamaa...! Swaliiiii...! (In Joti voice) JAZA UJAZWE HAKUNA NAMNA. Swadata nina swali kwenu wanajamvi na nitaomba mnisaidie kulidadafua kinagaubaga. Je, ni Urembo, Utanashati, Pesa, Elimu au...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Kutokana na uchunguzi niliofanya mdogo, wanaume wengi wamekuwa ni watu wakujadili mambo ya wanawake kuliko maswala yao binafsi ukitaka kuamini angalia mada zinazohusu wanawake ni nyingi mno hapa...
7 Reactions
62 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…