Wakuu nina mchumba wakihaya ila mie mwenzenu simuelewi kwa sababu nikiwa na hela mapenzi yanapanda moto ila nikiwa sina hatuelewani tunakosana.
Nikijaribu kumpgia simu zangu hapokei. Sijajua...
Kuna siku niliwahi kuona chapisho lililosema."Najiuliza jinsi Dr Nandipha aliweza kupenda, kuishi na kufanya mapenzi na muuaji bila kuogopa, kwa mara ya kwanza nitakubaliana na watu wasemapo ogopa...
Wakuu habr za siku nyingi mimi kama mimi sillent killer 2 kijana peace leo naoa.bdo umri wangu wakawaida (21) sana lakini kutokana na majukumu nimeamua kuvuta jiko mapema.Mungu bless my family and...
Mi ni mgeni huku, nimekuja kuanza maisha. Nahitaji mwanamke wa huku mbeya mjini kwa mahusiano endelevu.
Nimekuja huku JF coz mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani...
Nataka niachane na mchepuko wangu niliedumu naye kwa miaka miwili, nipeni ujumbe mzuri wa kuachana naye.
Sababu za kumuacha, tangu niwe naye hajanipa chachu yoyote ya kimaendeleo zaidi ya kunifilisi.
Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje...
Jana nimejikuta nimelala njee tena ni baada yakumuota X wangu amekuja kunisalimia nikaja kumfungulia mlango .
Aisee hii ni maajabu sasa hii inakuwaje ??
Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa...
Jamaa yangu alinikera sana, iko hivi mshikaji alikua amejipata pata kifedha si mbaya.
Kuna single maza akawa ana mganda jamaa ampe fedha kusaidiana tu, Na huyo singo maza alikua na jamaa ambae...
Wajomba!
Mahusiano yamekuwa kama ajira kwa wanawake sababu wanaingia kuvuna vitu viwili kama sio
1. Pesa
2. Furaha na yako yote
Bwana eeh hapo juu hakuna chochote cha maana we kama vipi NUNUA TU...
Siku ya pili niko hapa mpanda.
Huu mji umepoa kichizi sana,hakuna viwanja vya maana vya kujirusha.
Sehemu pekee ni Kingstone na B'eps,na penyewe hakuna jipya.
Kwa wenyeji wa hapa naomba mnipe...
Habari wakuu .
Weekend ya leo iko poa sana twende kwenye lengo la thread hii. Unakuta msichana mnapangana kabisa kesho anakuja kutoa utelezi alafu ikifika mida ya kuja text ajibu call apokei...
Hapo vip!
Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende.
Waafrika huwa wanautamaduni wa...
Nlikutana nae Mlimani City nikawa na ukaribu nae pale fish fish.
Nikazunguka zunguka nae ndani. Nikampa na lunch ya ukweli nikamruhusu aende.
Kesho yake tu aliniletea Mbunye. Anasoma Law na ni...
Rasmi nimeshindwa kabisa kustaafu hizi mambo daah yaani mwili unataka kila siku nichakate .
Naweza chakata hata mara tano afu sichoki wakuu hii ni kawaida kweli??
kukaa siku moja bila kuchakata...
Malaya ana imani zawadi pekee ambayo anaweza kukupa ni pampuchi tu.
Hana kingine anachotaka kwako Zaidi Ya pesa.
Mkeo ndio Ambae unajenga nae familia na maendeleo binafsi.
Mtunze mkeo jeuri...
Yaani hii imenitokea mara kibao ukimwambia basi nionyeshe kidogo wengi hata hawajiulizi mara mbili utasikia umeona,yaani afadhari sisi wanaume ndiyo tumebaki na aibu