Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Mjue hamna kitu kigumu sn Kama kukatisha penzi jipya, Kwa mtu uliemuelewa Sana, eti kisa TU changamoto za maumbile yake. Kiukweli inaumiza mno, Unakutana na Binti umempenda, Ila ukisex nae...
16 Reactions
248 Replies
9K Views
Mwezi wa nne nilikwemda Tanzania kwa likizo fupi. Kuna rafiki yangu mmoja wa siku nyingi anamiliki nyumba ya kulala wageni Akawa ananipa mkasa mzima ambavyo taa wanazoweka kwenye vyumba kwa...
8 Reactions
110 Replies
16K Views
Habari za leo wakuu. Leo tukiwa kibaruani kwetu kwa mhindi,sasa tukawa tunapiga story mbili tatu kupoteza muda tu ili masaa yaende tuondoke zetu kurudi home. Kuna jamaa yetu akatushirikisha...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Nadhani sio mimi peke yangu huwa najiuliza hii kitu, yaani kwanini wanaume ndio kichwa cha mchezo haswa ikifikia katika suala zima la tendo la ndoa? Mwanamke atasubiri afanyiwe kila kitu yeye...
9 Reactions
98 Replies
15K Views
Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
"Nimefurahi sana kuona ujumbe wa kuachana nawe, nashukuru kwa hilo, ukweli nilikuacha zamani sana, kwako niliendelea kuja kufata lishe.' Hiyo ni sms niliyopokea leo asubuhi kutoka kwa Diana...
10 Reactions
102 Replies
3K Views
Muda huu nimejikuta ghafla namkumbuka marehemu mama yangu, Mama mapacha Nusratt na Nasra. Tulizaliwa mapacha na mimi nikiwa Dotto. Kwa bahati mbaya nasikia mama alipata ajali akiwa na Kulwa...
17 Reactions
75 Replies
3K Views
guest-1788672427
Mbona hamjawahi kuleta mrejesho ? Mkipata wenza jaman, mrudi kuleta feedback na wengine wahamasike
14 Reactions
130 Replies
4K Views
wazee hali hii ndio mara yangu ya kwanza kukutana nayo Leo katika kugegedana na girlfriend wangu ame onekana Kua na genye sana, yaani nimepiga round ya kwanza akadai amechoka ikabidi nimwage...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kuna binti nimekaa nae kwenye uhusiano kuanzia mwaka januari 2014, bila kufanya mapenzi mpaka nilifunga nae ndoa mwanzoni mwa 2015, akidai yupo bikra na hajawahi kujihusisha na...
7 Reactions
168 Replies
26K Views
Wadada wananitongoza sana ikiwemo wake za watu, ila kuna mmoja huyo naona nitajitolea muhanga, mana ni mzuri kisha ananisumbua sana. Tatizo moja tu, nasikia ukitembea na mke wa mtu na wako...
3 Reactions
18 Replies
988 Views
Nawasalimuni nyote ndugu zangu!! Niwakati mwingine tena ningependa ku-share na nyie mkasa huu ulionipata! Nilikua na boyfriend wangu ambaye wakati akiwa chuo mimi nilikua nafanya kazi, tumeishi...
86 Reactions
450 Replies
56K Views
Wakuu Lissu ni shujaa.... Leo jamaa yangu alikuja kazn kwangu akaanza kunipa story kuhusu kupishana na mkewe kisa huku kwetu jana kulikuwa na mkesha wa mwenge sa huyu jamaa yangu anaishi na...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi Ni baba wa watoto 5 na mtoto wangu wa mwisho wa miaka 2 kasoro anaumwa na Yuko Kwny dozi ya sindano, anatakiwa kupelekwa dispensary kuchomwa kila saa 12 jioni. Sasa Leo nilishinda...
36 Reactions
172 Replies
11K Views
Kuna thread moja ya Preta ya nini wanawake wanaangalia kwenye first date. Nimekuwa interested na alichosema mdada huyu kuwa mojawapo ya vitu wanavyoangalia wadada ni kuwa "Kama pesa hutoi kwenye...
15 Reactions
78 Replies
11K Views
Habari, Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo 1. Mrefu mweusi, am very focused 2. Umri wangu 30 3. Graduate, Christian 4. Muajiriwa 5. Ninaishi Kilimanjaro Sifa za mwanamke nimtakaye 1. Uwe...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
💃🏻MDADA AWE: ♥️ Awe 18 - 40 ♥️Sijali kazi, hata kama akiwa mvivu haina shida nachotaka awe na degree ya mahaba ♥️Alifundwa usichanani ♥️Awe flexible katika tendo yani hadi kuruka kichura aweze...
11 Reactions
70 Replies
3K Views
Wahenga walisema Mapenzi ni upofu. Moyo ukipenda ni vigumu kuueleza chaguo ulilonalo si sahihi kwako. Nilikupenda sana, sikufikiri ipo siku nitakuja kuona mwisho mbaya wa penzi letu namna hii...
11 Reactions
67 Replies
2K Views
Nimeona nisimulie kakisa kadogo baada ya kuona mauaji ya wapenzi yanayoendelea hapa nchini na leo ngoja niwape kaushuhuda kidogo kile kilichowahi kunitokea baada ya kushindwa kuthibiti hisia...
15 Reactions
121 Replies
30K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…