Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jinsi ya kumuona mtu utakae muoa au kuelewa nae (DIVINATION) Mahitaji/vifaa: 1: Apple jekundu 2: Kitana (sio chanuo) 3: Kioo 4: Chumbani peke yako 5: Muda saa 6-8 usiku Ufafanuzi: 1...
49 Reactions
714 Replies
129K Views
Wakuu habari zenu. Pamoja na ugumu wa mambo ya nchi yetu ningependa kutanguliza samahani kwanza hata mimi natambua tunayopitia hayaridhishi kabisa japo wachache wanufaika wanaona shwari tu...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni Jumamosi nyingine tena mamia ya maelfu ya wanaume wajinga duniani kote wanawafanya wanawake used kuwa wake zao kwa sherehe za mamilioni ya pesa. Wanaume kadhaa walishaichapa bure kabisa na...
86 Reactions
369 Replies
14K Views
Je amekupost mtandaoni? Amekupost kukushukuru vile unavyotumia muda na gharama kumuhudumia na kumaliza changamoto zake? Nauliza tena, amekupost kuuambia ulimwengu jinsi ulivyo mwanaume mwema...
3 Reactions
35 Replies
876 Views
Salam kwenu Wajumbe, Agenda kubwa ni SHKAMOO! Sote twajua kuwa linapokuja suala MAHUSIANO (MAPENZI) hasa pale unapoona kuna jimbo umelielewa huaga umri hautuzuii kutimiza malengo yetu (wanasema...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Life is not fair unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi... Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
15 Reactions
178 Replies
5K Views
Nilikua usukumani, nikiwa kama mganga wa Zahanati ya kijiji, Kulikua na msimbe mmoja ambae tulikua tunafanana makabila, kazi yake alikuwa akifanya kazi Grocery, muuza vinywaji. Siku nazungumza...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Mimi Sio mwandishi mzuri wa kiswahili lakini nitajitahidi nieleweke mada yangu. Naenda kwenye maada Mke wangu ninahisi ananisaliti ambae nmemuoa 2017 mpaka leo tuna watoto watatu, ndani ya mda...
13 Reactions
82 Replies
3K Views
Ccm oyeee!!!!!!! Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho...
20 Reactions
60 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana MMU Naleta kwenu mada. Tujadili tafadhali. Mwanaume afanye nini katika himaya yake ili kauli yake ndio iwe hitimisho la mijadala? Mfano mdogo ni kwamba nimelumbana na wife...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Kulikuwa na bwana mmoja aliyeishi na mke wake, lakini siku moja wakazozana. Kama ilivyo kawaida wakati mwingine wanawake wakiwa na hisia kali, hasa wanapokasirika husema mambo mazito, mke...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Hello wana October natarajia kusafiri kuja dodoma ni sehem gan nzuri ya kufikia kwa mtu asie na mwenyeji 🙏
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba tunaburudika na kuondoa stress za familia kwenye michepuko(nje ya ndoa) bado michepuko huwa ni msaada sana kwenye majanga au mahali ambapo unahitajika msaada wa haraka wake...
10 Reactions
66 Replies
2K Views
Utafiti unaosambaa kwenye mitandao unaonyesha kwamba wanawake huzidi kujisikia furaha katika uhusiano wanapopata dakika 47 za umakini bila kipingamizi kutoka kwa wapenzi wao kila siku. Hii...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Wanawake wananitumia kisha wanaondoka kwa kweli roho yangu inauma nishalala na wanawake 18🥺🥺🥺 Nina miaka 24 Mara nyingi wanajirahisisha wakitak kuzaa na Mimi Najichukia sana 😭 nimepoteza mda na...
12 Reactions
55 Replies
2K Views
Mke wangu ni Mbinafsi na Mchoyo sana. Hili ni tatizo ambalo linanipa shida sana. Mke wangu tuna miaka kadhaa na watoto kadhaa. Kinachosumbua hasa ni ubinafsi. Anapenda kuwa centre of attention...
23 Reactions
47 Replies
2K Views
Kuna jambo linanichanganya. Tunashuhudia mama mwenye watoto zaidi ya umri wa miaka 30 anafanyiwa sherehe ya kutolewa mahari, kwa mbwembwe kubwa, akiwa kama binti wa kwanza. Lakini cha kushangaza...
6 Reactions
127 Replies
3K Views
Nilikuwa kama vijana wengine, Nikifurahia kutongoza wanawake tofautitofauti nikiwa na lengo la hit and run pengine🤷🏾‍♂️ Baada ya kujitambua na kujua kuhusu magonjwa na effects za kusex na...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF. Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
Kataa ndoa wapo sahihi miaka dahari.Asubuhi ya leo nimeamka na tafakuri kuhusu dhana nzima ya mapenzi na mahusiano. Katika tafakuri yangu nimeona ya kwamba neno mapenzi lipo kisiasa zaidi lakini...
13 Reactions
97 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…