Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,
Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena...
1. Kwanini mke wa mtu huwa ni mtamu sana?
2. Watu wanaokunywa pombe za kienyeji huwa na mionekano ya maisha magumu sana si wanywaji wala wauzaji?
3. Wanawake huwa wanawaza na kupambana kumtawala...
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu
Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza
Nilikuwa nafikiria ni uongo na...
Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu
Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka...
Tumia muda wako kufanya kazi na siyo kuhangaika na mapenzi.
Unakutana na pisi kali unaomba namba unaanza kuwa busy nae we unadhani ameonekana na wangapi kabla yako na ni wangapi wanaomtaka ...
Nina Nyumba mbili, Nina Gari, nina kampuni, nina miradi.
Umeona tayari nina unafuu wa maisha, unataka nikuoe.
Wewe Huna kazi wala Biashara, mbaya zaidi Huna bikira.
Hivi huoni kuwa unanionea...
1. Chagua mtu ambaye anakuheshimu wewe na watu wazima (wakubwa)
2. Chagua mtu unayemwamini
3.Chagua mtu ambaye unaweza kuongea naye,kujadiliana, na kuhojiana kwa uwazi bila kugombana
3.Chagua mtu...
Siitaji kusifiwa maana nishasifiwa sana
Ila ni mwanamke ambae kila mwanaume anamtamani
Mara nyingi nimeshawahi kwenda nae BAR kwa heshima watu wanatupisha kutuachia seat tena madingi na heshima...
Ni Kawaida au Ni Tatizo?
1. Ukweli wa kwanza: Hasira ukikosa pesa ni ya kawaida lakini inaweza kuwa hatari Hii hali inatokea kwa watu wengi sana. Si wewe tu Si vijana tu. Hata watu wazima, hata...
Kama ulikuwa hujui basi nikutoe tongotongo kuna familia zina watoto 7 na kuendelea, nimewahi kuiona familia ina watoto 11 tumbo moja, hadi sasa kuna moja alifariki wamebaki 10.
Kwenu mliowahi...
Shikamooni wakubwa wa humu ndani.
Jaman nimewamiss mno , wapo wachache nimebahatika kukutana nao na hata wale ambao sijawahamu ,naamini ipo siku tutakutana.
Namiss utani,vicheko na baadhi ya...
Habari zenu wakuu. Poleni sana kwa yote tuliyopitia na tunayoendelea kupitia ndani ya taifa letu.
Wakuu, ukiwa katika mchakato wa kuoa/kuolewa (engagement, send off& kufunga/kubariki ndoa)...
Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye...
Leo Tena. Tukiwa bado na maombelezo ya vijana wenzetu nimeona si mbaya tupate vinywaji baridi kidogo.
Dada yangu sisi wanaume tunapokuwa na jambo letu huwa tunasaidiana kwa hali na mali na kwa...
1. Unaelewa kuwa inawezekana kutokubaliana bila kukosa heshima au kuinua sauti.
2. Unaheshimu ahadi zako kwa kuwa mwenye kutunza muda, jambo linalokupa sifa ya kuaminika.
3. Unaacha kuwahukumu...
Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu, sijui walizinguana nini, saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu (yaani mpenzi wake) na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu...