Habari zenuuuu
Swali ndio kama hilo, Nakumbuka ilikua mwaka 2012 nilikutana na kijana mtanashati sana, handsome, Yaani ukimwangalia anavutia kwakweli. kukutana kwetu ilikua katika mazingira ya...
Bhandugu salaam!
Nina yangu ya moyoni wapendwa wacheni niyatoe nipate kupumua! Mimi nimeolewa tangu mwaka 2008, tuna watoto wawili na mume wangu.
Lakini tangu mwaka jana February mume wangu...
Juzi ilikuwa Ni Birthday ya mpenzi wangu,Basi jana nikamwambia apitie maghetoni aje achukue zawadi yake nimemwandalia
Kutokana na shauku aliyokuwa nayo jana saa2 asubuhi akanipia simu...
Nilikuwa na mwanangu leo akawa ananiambia mama, naomba ongea na wanao hasa hawa warembo. Unamkuta Mrembo ameweka picha Facebook au Instagram au whatsapp Kwa profile picha ameweka matako hapo...
Imagine unarudi nyumbani tu kutoka mihangaiko hata kukaa hujakaa unakutana na ukaribisho kua anaomba shilingi mia aongezee akanunue sukari kweli?
Na muda huo sio kama hana hela kabisa, unajua...
Wakuu naandika haha huku moyoni Nikita na uchungu sana kwa. Kweli.
Hapa mitaani ninapokaa kuna baadhi ya wamama wakiwa na watoto wao wadogo waliotelekezwa na waume zao wanateseka sana hapa...
Takriban miezi 6 sasa natumia Telegram kwa ajili ya masuala fulani ila baada ya kujiunga nilitumiwa link na mshikaji wangu nami nikajiunga kwenye group moja la [emoji725] najua mnaelewa.
Sasa...
Habari wakuu!?
Hili Dubwana Corona linajifanya mwalimu dunia, badala yakufunza linaadhibu, yaani linajifanya kugusa kila nyanja halijui kuruka hili, limetuvamia hadi Mabaharia!!eti limepenya...
Siri ndani ya ndoa ni chanzo cha matatizo
Unakuta mmoja wapo ndani ya ndoa anafanya mambo yake kwa kisiri, hasa yanayogarimu pesa bila kumshirikisha mwenzake. Mwingine inafikia hatua anajenga...
Wakuu nakiri mapenzi ni kitu kingine ndio maana Mungu aliyaumba mapenzi. Kuna mwanamke ambae ninampenda sana ila tumegombana now wiki ya pili ila kakaa moyoni mwangu. Mimi ndie niliyeamua...
“In my 35 years of study as a psychologist, there is only one thing I cannot really understand and that is, what does a woman really want?” — Sigmund Freud
Sigmund Freud is a famous and renowned...
Poleni sana na janga linalowakumba TZ kitalaamu likiitwa changamoto ya upumuiji.
Katika pitapita zangu kwenye majukwaa pendwa MMU na CHIT CHAT ili kutumiza yale yote anayonituma ibilisi...
Wasalaam wananzengo
Nipo hapa nawaza na kuwazua. Iko hivi wakati nipo chuo mwaka wa kwanza yapata miaka 8 iliyopita nilikutana na binti Fulani. Baada ya kumtongoza akanikubalia na tukaanza...
Wadada naomba mnisaidie
Mfano unakuwa na girlfriend mtaani wakajua kuwa una mahusiano na mtu flani kisha wanawake wakaanza kmchukia yule msichana ulonae kwenye mahusiano. Yaani hapo nasemea 90%...
Toka kuanza kwa usafiri wa hizi pikipiki imekuwa na wimbi kubwa sana la wake za watu kutoka kimapenzi na hao bodaboda.
Nauliza hivi ni hao wake wanaowataka hao bodaboda au imekaaje hiyo?
Muda...
Mambo vipi wadau wa JF.
Mimi sio mtumiaji wa FB but juzi kati nikafanya research ndogo tu. Nikatengeneza account FB na kuipa jina la kiume. Ndani ya masaa 24 sikupata friend request hata moja...
Sio mpenzi sana wa jukwaa hili ila kuna tabia nimeiona imenishangaza baada ya kwenda likizo home kama unavyojua janga la corona.
Kuna wapangaji pale home huyu sasa ni mwalimu ameoa unamkuta...
Mwaka Jana mwezi 12 nilikutana na Dada mmoja katika moja ya mitandao ya kijamii na tukaanzisha mahusiano Mimi Niko mkoani yeye yuko dar es salaam.
Mwaka huu mwezi wa pili nilionana na huyu Dada...
Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu. Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani.
Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza...