Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Achana na wa mtandaoni, simu za sasa zna camera za kisas zinamscrab mtu anakua pisikali Tafuta wa mtaani ni salama kwa afya yako ya mwil na akiliiiii
1 Reactions
7 Replies
263 Views
Cha ku suprise nimeenda kukutana na ugali ndondo
1 Reactions
4 Replies
218 Views
Kumekuwepo kama mashindano ya nani mwenye likes na asiye na likes,watu wanaomba ushauri wachangiaji wanaandika coments ambazo watapata likes nyingi bila kujali wanaandika nini. Suluhisho ni moja...
10 Reactions
26 Replies
359 Views
Mimi naanza na hii Kuna siku nilimsikia jamaa anaongea na demu wake anamwambia "Baby kwanini hujaniambia kuwa mamako ndio amekuzaa" nikawapa wiki mbili
20 Reactions
146 Replies
3K Views
Yaani kuna demu najuana naye Sasa nimetaka namba ya rafiki yake aisee dakika siguri tu nimeunganishiwa na mpaka Sasa mtoto anaelekea kibra sikujia kama Kuna kitonga namna hii
3 Reactions
28 Replies
751 Views
Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki...
7 Reactions
15 Replies
818 Views
  • Closed
Iko hivi; Kuna binti nilikua nammezea mate kinoma. Kuna mahala huwa nakunywa chai sasa huwa anapenda kuja kununua vitafunwa hapo, so nikawa namuonaona pale. Wiki mbili zilizopita nilimuomba namba...
23 Reactions
199 Replies
9K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
Wakuu, naombeni ,msaada wa ushauri, Hivi ni sahihi kubadili dini kisa mahusiano? nimekua nikipitia wakati mgumu wa kufanya maaumuzi binafsi ya kubadili dini na kufuata imani ya mwenza wangu...
4 Reactions
12 Replies
601 Views
Kiukweli inaumiza sana,unaitwa mpiga kelele wakati haujafanya hivyo nikiwa form3 niliandikwa nimepiga kelele nikapelekwa kwa mwl,nilijitetea sana hakuelewa,nikataka kupigana nae akanipa...
4 Reactions
18 Replies
267 Views
Hali zenu? Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda...
47 Reactions
257 Replies
12K Views
Wakuu,mpenzi wangu alikuwa ananisaliti,nilipogundua tu ilibidi "nimchane live" nimwambie ukweli na kuanzia siku hiyo mapenzi kwake yalikwisha taratibu mpaka kupotezeana,akituma sms sijibu nk. Vipi...
6 Reactions
66 Replies
1K Views
Wadau jamani tukiacha matani ni wapi mty aende akatolewe jini mahaba anasumbua sana kiasi cha kuua hata walio karibu na huyu dada mpaka nasasa amekuwa anaadhiri sana maisha yake. Ikiwemo uchumba...
6 Reactions
69 Replies
3K Views
Wakati hauna mahusiano wala ndoa, hakuna mwanamke anae sogea karibu yako, lakini baada ya ndoa wanakuja wengi tena ambao huitaji kutumia nguvu nyingi kuwapata.
7 Reactions
23 Replies
527 Views
Septemba 2017, mwanamke Laura Mesi, mwalimu wa mazoezi ya viungo wa Italia mwenye umri wa miaka 40, alifanya jambo ambalo lilivutia dunia: alijioa yeye mwenyewe kwenye sherehe ya harusi kamili...
2 Reactions
9 Replies
537 Views
  • Redirect
Je mnyama atazinduka leo na kufanikiwa kuchukua alama tatu muhimu au ataendelea kuwa mgawa utamu? Full time EST 4 VS 1 SIMBA.
0 Reactions
– Replies
– Views
Na hii ndiyo inafanya kataa ndoa wanajichotea ushindi kila siku. Wanawake wa sasa watapenda Morden Marriage ila wanataka waume zao wawape Traditional Treatments, yani zile za Ki Gentlemen...
5 Reactions
9 Replies
314 Views
Albert Einstein Albert Einstein: What a wise man never says to a woman Few names evoke as much intelligence and depth as Albert Einstein’s. But beyond his formulas and theories, the German...
1 Reactions
0 Replies
519 Views
Wakuu habari ya Leo habari Za mwaka 2026 nimerudi baada ya kupotea jf kwa miezi mitano (5) Sasa wakuu mada ni kwamba kijana yuko njia panda ana mpenzi wapenzi wawili mmoja ni A. Ana miaka 28...
3 Reactions
35 Replies
890 Views
Inawezekana kabisa ni video ya mchongo lakini nyuma yake imebeba uhalisia mwingi na fundisho kubwa . Mwanadada kafanya fumanizi na panga mkononi . Hakumgusa mwanamke mwenzake bali bwanaake ambaye...
6 Reactions
29 Replies
954 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…