Nina umri wa miaka 25 lakini nina mvi karibu kichwa kizima, hali hii imenifanya nisijisikie huru kwa watu,wananiita mzee,kama kuna mtaalamu wa hali jambo hili naomba anielekeze jinsi ya kufanya...
kuna ile mwanzo wa mapenzi atukatai mwanamke kachukua vichenji vyako kadhaa
Asa je umeshawahi kupindua meza unamnyandua mwanamke mpaka anaanza kukuhonga wewe hela?
Wakuu,kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo juu,nataka niwe nauza madaftari,rula, pens,kalamu vibiskuit,jojo,soda nk, wakati wa likizo nalifunga duka then wakifungulia naanza tena. Naomba mwongozo...
Aisee, Ngoja nipumue kidogo mwaka jana mwezi wa sita nilitongoza mdada kitaa, akanikubalia tukawa wapenzi.
Sasa huyo dada hakuniambia kwamba ni Trafiki nilikuja kugundua nilivyopita Ubungo Mataa...
Tuambizane ni kero gani unakutana nayo wakati wa kufanya mapenzi?
Mi kero nayokutana nayo ni kukuta mwanamke haoneshi ushirikiano hata ukitaka kumgeuza dog hataki kero ya pili mwanamke ambaye uke...
Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye...
HIVI NDIVYO TUNAVYOHESABU RAUNDI KWENYE MAZOEZI YA KEGEL
📌 Kila Zoezi Unahesabu Kuanzia 10 Hadi 30 Kulingana na Pumzi Yako
📌 Kila Zoezi Unarudia Mara 3 au 4 Hadi 5 Kulingana na Pumzi yako Pia...
Hali hii inanitesa sana bhandugu,kila nipitako si wabibi kinamama wenye ndoa zao,mabinti,mishangazi, wananitaka,najitahidi kuwakwepa ila wapo na mimi tu,sijui nifanye nini wakuu,hali ni mbaya...
Ukiwa kama mwanamke jitahidi uwe na mafuta ya miski halisi itakusaidia kufanya uke ubane, inarudisha joto asilia na inaondoa harufu mbaya ya uke.
Uke unakuwa mdogo mnato kama wa mtoto.
Naam ni enzi za ujana katika harakati za kutafuta maisha nilikuwa katika kipindi cha hali ngumu na kujitafutia kazi halali za kujiingizia kipato hasa kujichanganya katika vibarua vya ujenzi mambo...
Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba).
Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao...
Mimi ni kijana nikiishi Mkoa X, ambapo nilikuwa na mchumba ambaye tulibahatika kupata mtoto. Sote tulikuwa na ajira , lakini maisha yakaelekea tofauti, na hatimaye tukakutana na changamoto ambazo...
Moja kwa moja kwenye mada staki salamu! Navumilia sana kwamba mpaka nimwambie anipelekee maji nikaoge wakati anajua kabisa kuwa nilikuwa kazini nimechafuka! Vipi upande wako kero gani ndogo...