Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakuta jamaa alikuwa mwema tu kabla hajawa boda au muuza mbogamboga lakini alipoanza kazi hiyo akabadilika.
1 Reactions
14 Replies
250 Views
  • Redirect
Huwezi kuona mtoto wa kike wa single mama amedumu kwenye ndoa.
2 Reactions
– Replies
– Views
Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao...
1 Reactions
9 Replies
629 Views
Mimi ni kijana nikiishi Mkoa X, ambapo nilikuwa na mchumba ambaye tulibahatika kupata mtoto. Sote tulikuwa na ajira , lakini maisha yakaelekea tofauti, na hatimaye tukakutana na changamoto ambazo...
0 Reactions
8 Replies
790 Views
Moja kwa moja kwenye mada staki salamu! Navumilia sana kwamba mpaka nimwambie anipelekee maji nikaoge wakati anajua kabisa kuwa nilikuwa kazini nimechafuka! Vipi upande wako kero gani ndogo...
6 Reactions
105 Replies
1K Views
sifa kubwa ya mwanamke ni nyonga ndo maana mungu amewapendelea na kuwapa nyonga nzuri na zenye mvuto..na nyonga nzur na zenye mvuto shart zijuwe kukatwa bibi. Kabla sijaendelea naomba niweke wazi...
5 Reactions
86 Replies
4K Views
Kwa kuangalia uzoefu na mienendo yao ya kijamii, kuna ujuzi wanaupata wa kuweza kuwasiliana na wanawake, hususan katika kuongea kwa mvuto (flirting) na kuanzisha mazungumzo kwa urahisi. Pia huwa...
7 Reactions
33 Replies
812 Views
natafuta demu wa kunipa mambo haya ,mimi nafanya kazi kwenye taasisi binafsi kama finance manager ila na wewe ukija uwe na kazi yoyote kifupi uwe unajishughulisha 34 age nipo dar 1.furaha 2.furaha...
4 Reactions
66 Replies
773 Views
Wakati matumizi ya mafuta yakiwa maarufu kwa wengi kama kilainishi wakati wa kujamiiana, wataalamu wa afya wameonya kuwa yanaweza kuleta madhara makubwa kwa afya ya mwanamke, ikiwamo kuharibu...
11 Reactions
165 Replies
4K Views
Wakuu, nipokeeni kijana wenu nimekuja na id yangu ya muda mrefu iliyonitambulisha humu jukwaani. Naombeni ushirikiano wenu wakubwa kwa wadogo zangu. Binti wa zamani na Mallerina shukrani kubwa...
6 Reactions
27 Replies
325 Views
Ni mechi ya maamuzi hii.
1 Reactions
7 Replies
153 Views
Narudis Hakuna kitu kinaondosha baraka ya pesa kama zinaa na pombee Ukishapataa tu ukaanza kuinunulia Malaya kuinunulia Pombe hata ukiitolea sadaka ya kujimaliza. Kitaumanaa tu Namaanisha...
12 Reactions
81 Replies
1K Views
Attracting a high-quality mate isn’t about luck or beauty – it’s about the behaviors you exhibit. Certain actions can drive the right people away, while others act like a magnet, pulling them in...
6 Reactions
4 Replies
975 Views
Are you feeling unlucky in love? The truth is that luck in love is no mere roll of the dice; it’s about making intentional choices that can shape your romantic destiny. While many different...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Habari, Naomba ushauri wenu moyo unauma sana. Nipo kwenye mahusiano ya mbali (LDR) kwa miezi minane sasa. Nampenda sana huyu mwanaume, kiasi kwamba muda mwingi nautumia kusali, kufunga na...
6 Reactions
– Replies
– Views
1: Je, kuna mtu aliyewahi kukupenda kwa dhati… lakini ulimpoteza kwa sababu zako? 2. Je, unaishi maisha unayotaka… au maisha unayolazimika kuishi? 3. Kama ungepewa nafasi ya kuanza maisha upya...
4 Reactions
11 Replies
377 Views
Maisha ni safari ndefu, ukifanikiwa kufika 60,70,80…ukiwa na afya njema ni jambo la kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa hapa kama uko na mwenza wako na mipango yenu ya pesa iko sawa uzee...
21 Reactions
53 Replies
988 Views
hakuna uhuru. kushikiwa mtoto asie wako. kuletewa magonjwa ya zinaa.. kuchapiwa/kugongewa pindi unapoyumba kiuchumu. Ugomvi kila siku hakuna maelewano ndani ya nyumba. Dharau kibao.
9 Reactions
57 Replies
889 Views
Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
9 Reactions
74 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…