Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini za kutwa Ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya kabisa .Tuendelee kupambana dhidi ya COVID-19 .Mungu ibariki Tanzania Tuende kwenye mada yetu pendwa ni kupeana motisha morali katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekaa nikatafari sana kwa nini hili tatizo la wanawake walioolewa kuchepuka limekuwa kroniki? Hapo awali nilidhani walio na mipini mikubwa huwa hawapigiwi wake zao. Lakini ukiingia mitaani...
8 Reactions
42 Replies
6K Views
Heshima kwenu ndugu zangu. Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua. Naamini humu wapo wengi wenye ndoa na wazoefu wa changamoto mbali mbali...
35 Reactions
206 Replies
19K Views
Kwanza kabisa nipende kuwapa pole wanajavi wote kwa changamoto ya corona na pole zaidi kwa waliopoteza ndugu zao. Tuzidi kumwomba mwenyezi MUNGU na kuchukua tahadhari Inshallah tutavuka salama...
12 Reactions
32 Replies
5K Views
Nini maana halisi ya kusamehe? Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo. Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakiwa mbele za watu na kamera wanakuwa wakali, ila usiku ukiingia wanakuwa wapweke. Asante mshana kwa hii picha.
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatimae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika...
29 Reactions
174 Replies
17K Views
Kutumia lugha ngumu za mapenzi kwa wapendanao kunadumisha, kuimarisha na kusisimua katika mapenzi. Ukitumia lugha laini laini ya kuoneana aibu, mpenzi wako atakuona zoba; atakwenda kwa wahuni na...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kutokana na kukua kwa teknolojia dadazangu wengi sana mnatabia za kupiga picha tata(picha za utupu) hii nmeshuhudia kwa baadhi ya wanawake. Wakwanza huyu ni dem wa mshkaj wang yy anapenda sana...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
1. Akigombana na mwanaume utasikia akisema "una mambo ya kike wewe", akishasema hivyo basi mwanaume huwa mdogo kama piritoni na kuufyata(hata kama yeye ndio kakosewa). 2. Wengi wana kasumba ya...
9 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari za Asubuhi wanaJF ni tumaini langu Mwenyezi Mungu anazidi kuwabariki katika maisha yenu kwa kadri mnavyostahili na kwa kadri ya mapenzi yake! Majuzi nilikuja na uzi hapa JF, link hii hapa...
4 Reactions
69 Replies
10K Views
Mimi kwa asili yangu nina sifa ya kuwa honest katika mahusiano, siwezi chenga chenga, kudanganyana na mambo kama hayo. Huwa naamini kama kuna mtu ana nia ya kupenda kwa dhati sina haja ya kufake...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ilikuwa mwaka 2015 life after Chuo hapo sina ajira wala mishe ya kueleweka ya kuniingiziamtoto mmoja WA kichaga nilipigwa faini ya milioni moja kwa kumzalisha binti ilikuwa hatari. 500,000 faini...
5 Reactions
51 Replies
9K Views
Humu mada nyingi nizakuachwa. Umri sio tatizoo tatizoo ni kuwa makini katika uchaguzi . Mke mwema huja mwenyewe asilimia kubwa tatizo hao mnawapuuzia mnaishia kupata wanawake ambao bila hela wewe...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakubwa na wadogo Katika ulimwengu wa sita kwa sita binadamu huwa tunakua wadhaifu sana na inafikia wakati kutokana na raha ya tendo unaweza muhaidi mpenzi wako kwamba utampatia...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
.... Delete ... Moderator Please delete huu Uzi.
19 Reactions
117 Replies
10K Views
Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia...
9 Reactions
74 Replies
12K Views
Mimi nakumbuka kabla dada yangu wa kwanza kuzaliwa hajaolewa, yeye ndie tulikuwa tunamuonea kwenye kupika kila siku. Dada yangu alikuwa hana jinsi maana sisi ndio tulikuwa wadogo zake. Ila...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Anekubali asili yake au wa haki sawa ngangali ngangali
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi upande kuna binti tulipendana sana mahusiano yetu na binti alinipenda sana ila alivyopataga kazi tuu nilishangaa ukimtafuta anakwambia yupo bize bize yee hata hanitafuti akinitafuta ana shida...
17 Reactions
30 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…