Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wandugu kama kawaida si rahisi kuishi bila kuwa katika mapenzi, nimekuwa katika mikiki ya mapenzi kwa muda sasa. Story iko hivi nilikuwa na urafiki wa kawaida na dada mmoja hapa ofisini...
1 Reactions
66 Replies
6K Views
Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nasikia ukihasiwa unakua hutamani tena mambo ya wanawake. Hivi viumbe bora niwaachie tu mabaharia wenzangu muendelee. Tafadhali wapi kuna huduma ya kuhasiwa niende na bei zake ni ngapi?
0 Reactions
155 Replies
22K Views
YAFUATAYO, NDIO MAENEO AMBAYO MTU ALIYE KWENYE MAHUSIANO NI MUHIMU ILI KULINDA MAHUSIANO/PENZI:- Ukweli ni kuwa watu wawili wanapoamua kwa dhati kuwa katika mahusiano ni kwamba wanakuwa tayari...
5 Reactions
7 Replies
6K Views
Ulimwengu umebadilika sana, yale mambo ya kizamani ya kwamba, mwanaume ndio anatakiwa aanze kumtongoza mwanadada/mwanamke yalishapitwa na wakati. Kwa takwimu zilizopo duniani, wanawake ni wengi...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wewe ni sponsor au mwanaume uliye na mke au huna, unamhudumia binti ili kuitimiza kauli mbiu isemayo 'mwanaume tafuta hela, mpaka ukijam-ba uambiwe, pole baby', unampa laki mbili mbili kila week...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
Habari wanafamilia, Hii nimeikuta sehemu kwenye page fulani ya Wa cameroun wakijadili kwa kuwa nimeiona pia hapa kwetu hivi hii kitu huwa inaashiria nini au maana yake ni nini?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa! Umaarufu wako Hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara. Hapa bwana wimbi la wanawake watapenda...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa.. Nifanyeje...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Mida ya saa 20:30. Nilikua natembea zangu road, Ile naangalia mbele naona watu wawili, wanasukuma njiani, mwanamke anaelekea barabarani jamaa anamfata nyuma. Kwa speed. Yule Dada alipo fika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo *mweupe mwenye tako *awe anajua mapenzi *awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa yeyote atakaaependa tuwe marafiki wa kuchat humu basi karibu pm au mimi nikaribie ya kwako. Nawapenda nyote peace and love y'all
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote Kila jambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina mpango baada ya miaka mitatu nione, nipo kwenye mahusiano na msichana flani hivi ambao kabila lao linasfika kwa viburi, ana umbo na ni mzuri kiasi. Picha linaanza anapenda sana kula na mm...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wanazengo Nipo na gal tumedate since high school lakn recently nmekuja kugundua anaongea na mchizi mwingne na mchizi yupo very close na dogo.. nmejaribu kumkanya lkn naona dogo yupo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Anicheki 0715759884 Vigezo Dini yoyote,mweupe au mweusi Umri 28 -33 Asiwe na ukimwi na magonjwa ya kuambukiza
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Different deceiving items worn by women to make them seem more attractive to men are described here. Listed here are 14 various kinds of fictitious things that women may use to make themselves...
0 Reactions
4 Replies
796 Views
Uzuri wa muonekano muhimu mtu asikudanganye... Tena nawashauri vijana, weka mwanamke mzuri wa mwonekano ndani. Wapo wanawake wazuri wenye akili sana tu kichwani... Ina maana gani kuwa na pesa...
21 Reactions
91 Replies
15K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT Mimi ni miongoni mwa vijana ambao mapenzi hayajawahi kuniumiza, nimewahi kupenda sana sio kwa mtu mmoja lakini kuja kwenye swala la kuumiza kwenye mapenzi sijawahi...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Katika hali isiyoendana na maadili yetu ya Kiafrika Best angu kaja kunipa story kua mke wake alienda kumsalimia wifi yake ambaye dada wa best angu dukani kwake katika mazungumzo yao wifi akaanza...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…