Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume
Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta...
Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19.
Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea...
Salaam,
Katika utafiti wangu usio rasmi, linapokuja suala la sex mwanamke hureact kulingana na maandalizi.
ukimparamia ujue utapewa game chini ya kiwango, ukimuandaa kiasi ujue utapewa game ya...
Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya usiguse usijarib kuweka nao mahusiano vinginevyo utalia labda ule na kusepa.
Wanawake wenyew ndo kama hawa:
wanaopenda kujichekesha kwa wanaume-malaya...
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "malogy mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu nipo Kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao, akacheka sana...
Wasalaam,
Wanajamvi jana kuamkia leo usingizi umekua mgumu kwangu kutokana na changamoto ninayopitia katika swala la mahusiano ya mapenzi.
Ikiwa ni muda mfupi toka nitengane na mke wangu...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza kwenye kongamano la kupinga unyanyasaji wa kinjinsia nchini amesema serikali imedhamiria kukomesha rushwa ya ngono vyuoni kwani kwa sasa imekithiri...
Salaam,
Katika utafiti wangu usio rasmi, linapokuja suala la sex mwanamke hureact kulingana na maandalizi.
ukimparamia ujue utapewa game chini ya kiwango, ukimuandaa kiasi ujue utapewa game ya...
Usitongoze mwanamke kwa kuangalia picha alizoweka kwenye mitandao; utajuta!
Wengi wamezipiga nyuso zao 'plasta' pamoja na 'kuziskimu' kabla ya kuziweka kwenye mitandao.
Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe...
Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi
"Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume."
Kwa ibada, maombi, heshma...
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu...
Miongoni mwa mambo yanayopelekea mahusiano mengi ya ndoa kuvunjika ni pamoja na kutoa baadhi ya vitu, maneno au matendo yanayoihusu ndoa yenu kuwapelekea watu wengine ambao si wahusika wa ndoa...
(Ni kweli)
Nilibahatika kufanya ziara na kwenda kushiriki na ndugu na jamaa mikoa ya kati. Nilisafiri asubuhi hadi saa moja unusu nikawa nimefika mkoani, ikabidi nitafute sehemu ya kujiegesha...
BANDUGU ZANGU LEO NMEKUJA NA HUU UZI
ATAKAYEKUOA SIFA ZAKE NI KAMA IFUATAVYO...
1. ANABADILIKA
Mwanaume Ambaye Ana Malengo Ya Kuoa Hubadilika Kitabia. Muda Mwingi Hutaka Kuonekana Mtu Mzima Mwenye...
Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing).
Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa...