Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020
Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja...
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa.
Wanaume wengi utawakuta...
Just assume, watu wanapigana ipatikane fedha ya kukutibu, mke wako anaonekana dubai, eti matatizo yapo tu, sa kama kapata muda wa kwenda dubai, huyu mgonjwa anachungwa na nani?
MWENYEZI MUNGU...
Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake
Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata...
Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa
Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie
Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya...
Miezi 7 nyuma nilianzisha mahusiano nikiwa na lengo la kujichallenge, kujijenga kihisia kwa kuplay emotional game ili tuone ni nani atakayeteseka mwisho mwa mchezo.
Nikatafuta binti mrembo haswa...
Wakuu, unakuta umemtamani kabisa mwanamke mnene na ukajitahdi kumpata,lakn pindi tu nikienda nae sita kwa sita,nikifanya nae round 1 siwezi kurudia, nahsi kama kinyaa na haiwezi kusimama. Kwa...
It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa?
Miss Natafuta, Nakubusu ...
Wakuu, huyu Sandra ndiye aliyeniingiza rasmi katika ulimwengu wa mahaba,kupendwa, kujali,kudekezwa na uchafu wote kunako sita kwa sita alinifundisha yeye,alikuwa anainyonya,anaimumunya kama pipi...
Mshikaji wangu mmoja alikuwa kwenye mahusiano na mwenza wake kwa muda mrefu. Kwa kuwa waliaminiana kupita kiasi, alimpa mwenza wake Password ya simu yake akiamini ni ishara ya upendo na uwazi...
Salam wakuu, andiko hili ni kwa ajili ya kuelimisha jinsi jamii inavyo paswa kuishi na ma jobless pro max.
Jamii yetu ina watu mbali mbali, wapo wenye ajira, ma jobless pro max, watu wa daraja la...
Mimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 150k-250k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi.
Binafsi nina WiFi na kitanda tayari so hata...
Habarini,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko...
Siku Moja Nipo Rada..Natembea..Mitaani kwa mbaali...Naona Mmama wa Kiislam ,Ametupia Nikabu Sura Haionekani ..oyaa mi hua Sifagilii Unyonge kabisa, Nika mpiga mkono kama Traffic na Kumuweka...
1. Kua katika mousanyiko kisha kijana/mwanaume wa rika lake anashuka kwenye ndinga, wakati huo yeye hana mbele wala nyuma, huwa wanajisikia unyonge mkali sana.
2. Anapopishana na mwanaume alie...
Kwa mtazamo na ufahamu wako uko sahihi sana.. Kwakuwq umeshajiandaa umeshajipanga na nia yako ni dhabiti na ni kamili
Tayari kichwani una picha ya ujumla ya umtakaye ambaye naye yuko kamili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.