Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam! Mimi ni kijana wa 44 years Mjasiriamali Niko Arusha Nimekaa kwenye ndoa miaka 16 ila ilikuwa ni ndoa yenye vioja vingi sana Na hatimaye tukaachana rasmi Nina watoto 3 Maisha yangu ni ya...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Mimi ni mmoja kati ya watarajia wa kufunga ndoa 2022 ila mpaka sijui life litakuweje maana sina kibarua cha kueleweka , mahali bado sijajua ukweni wataniambia ngapiii nitoe Kuhusu gharama za...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Utafiti uliofanywa na Oakland University unaeleza kwamba Watu wanaowageuza Wapenzi walioachana nao (Ma- EX) kuwa Marafiki zao wa karibu mara nyingi huwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na matatizo ya...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Moja ya mambo ambayo nimekuwa nikiyapinga na kuyakemea kwa ukali ni hili la ushoga. Hivi inakuwaje mwanaume kamili kumtamani mwanaume mwenzio? Unapataje hisia na kumchakata mwanaume mwenzio? Ni...
8 Reactions
126 Replies
17K Views
Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara Ni muhimu...
8 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex. Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani. Mtazame Aunty...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume. Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wana JF? Kiufupi mimi ni baba wa familia, nimejaliwa mtoto mmoja. Twende moja kwa moja kwenye mada. Nyumba ninayoishi nimepanga wapangaji tupo wanne hakuna bachela, sasa kimbembe kuna...
10 Reactions
50 Replies
7K Views
Sitaki tena vurugu za mapenzi. Ntajihamasisha kuangalia vitu vyengine zaidi, mapenzi nitawaachia magwiji. Sitaki tena kuutoboa moyo wangu kwaajili ya mapenzi,fujo nilizozipata mwaka huu 2021...
26 Reactions
133 Replies
7K Views
Zamani wanawake wenye vitambi nlikua sina hata mzuka nao, nikishakuona mbele umevimbavimba tu unakua tayari umeshanikata stimu, sijisumbui hata kuomba namba ila sasa hivi upepo umenigeukia. Yaani...
16 Reactions
209 Replies
15K Views
Mwanamke akinipendea urefu, macho, sura naona sawa kabisa, ila akiwa na mm kwasababu anaona nina vijisenti kadhaa, sio siri roho yangu huwa inajisikia vibaya Sana, na huwa nakereka nikigundua...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki. Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
JOHN :-Habari yako bwana? HASSAN :-Nzuri we Nani? JOHN :-Natumaini hatufahamiani. HASSAN :-Yes, sikufaham wewe nani nikumbushe.. JOHN :-mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen. HASSAN :-ndio...
11 Reactions
31 Replies
6K Views
Madem wa DSM bhana ukitaka kuwala mpaka uvimbiwe wewe miliki kausafiri tu aiseee wanadata sana. Wanaamini mwanaume mwenye gari amefanikiwa kimaisha kumbe wengi sisi tunaunga unga tu hata pesa za...
13 Reactions
103 Replies
11K Views
Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo. Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Ndgu zanguni habari za jmosi, nina first born wangu nilio zaa wakati wa ujana wangu na mwana chuo mwenzangu. Ndoa ilishindikana tukaamua kulea mtoto wetu, mtoto amekaa na mama ake hadi 8yrs...
18 Reactions
134 Replies
14K Views
Nina urafiki na demu mmoja hapa mtaani ni mkali tu tumezoeana kama wiki 2 sasa kutokana na mazoea yetu uwa tunatoana out sometime kirafiki tu sasa leo kuna demu nimemuweka status huyu mwanamke...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Umofia kwenu, Leo katika kusoma magazeti ya Kenya nimekutana na topic tajwa. Kuna mtindo umezuka na upo madaktari wa Kitanzania na hasa wa kiafrika kupenda kuwazuia wanaombatana na wake zao...
4 Reactions
295 Replies
47K Views
Dunia hii tamu Ex wangu aliniacha akafikiri ame ni weza kumbe amejiweza Sasa ivi natoka na mdogo wake wivu imetawala moyo wake Mapenzi raha bwana Kila siku kutupiga vijembe kwenye mitandao yote...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…