Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika hoja hii natamani wajuzi katika sekta ya afya waje watupe majibu zaidi. Lakini kwa uelewa wangu, ni vyema waume zetu wakaendelea kufanya mapenzi nasi tukiwa na ujauzito. Mimi sio mtaalamu...
20 Reactions
128 Replies
16K Views
Nina wiki kama tatu nyumbani kwa wazazi kuwasalimia, hua sipendi kabisa kukutana na watu hasa ndugu walio na maswali mengi ya kama unaoa lini? Hujaoa tuu? Siku hizi unafanya nini? Unaishi wapi nk...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilijaribu juzi kukaa asubuhi mpaka jioni kwa kunywa chai tu, aisee asikuambie mtu, njaa mbaya! Umasikini mbaya mnooo! Leo nawakingia vifua wanawake, msiwalaumu jamani, tutafute pesa. Kuna muda...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa...
44 Reactions
142 Replies
62K Views
Habari za wakati huu wandugu. Mie nimepata maswali kadha kadha kichwani mwangu. Hii imejulikana toka muda, kwamba si Jambo rahisi au jema kwa Rafiki wa kiume kuambizana kuwa nimempenda dada yako...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana...
22 Reactions
93 Replies
9K Views
Nimepta Twitter leo nikakutana na mada hii. Tucheze kamchezo mtumie ex wako msg mwambie naomba turudiane, screanshot halafu weka kwenye comment tuone nani bado anapendwa na baazi walichangia kama...
26 Reactions
460 Replies
69K Views
Nadhani hapa wengi wetu kila moja anamjua mtu Fulani ambae hata akienda kwenye sehemu ambayo hajulikani yeye haimchukui dakika hata zaidi ya 5 kuwa marafiki na watu asiowajua kwa kiasi ambacho huo...
3 Reactions
22 Replies
9K Views
Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo? Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mjue mkeo. Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu...
10 Reactions
65 Replies
5K Views
Salaam kwenu nyote! Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana. Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo...
15 Reactions
103 Replies
10K Views
Igweee..... Jf Mfumo wa maisha yangu ni very complex, naweza nisilale home hata zaidi ya week. Mchana pia kunikuta home nime chill tu bila kuwa busy na uandishi wa report ni nadra sana. Muda wote...
3 Reactions
63 Replies
9K Views
๐˜”๐˜ช๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข ๐˜บ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ด๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜ต๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜บ๐˜ข๐˜ค๐˜ฉ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ช๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ป๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฑ๐˜ฆ๐˜ด๐˜ข ๐˜ต๐˜ถ, ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ต๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฆ ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ข ๐˜ถ๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ถ๐˜ณ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฌ๐˜ฆ ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ฆ ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ด๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ข ๐˜ข๐˜ต๐˜ข๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ช๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ธ๐˜ข "๐˜›๐˜ข๐˜ง๐˜ถ๐˜ต๐˜ข ๐˜ฑ๐˜ฆ๐˜ด๐˜ข ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ธ๐˜ฆ". ๐˜๐˜ถ๐˜ฐ ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช๐˜ฐ ๐˜ฎ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฎ๐˜ฐ ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ต๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ ๐˜ด๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
I really need your help, as I feel like I'm going out of my mind. Nimekua na huu mchepuko kwa miaka mitatu ni mzuri sana and a decent human being. But I can't shake off the feeling that I don't...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu,mada hii ni maalum kwa wazazi au walezi wa watoto,changamoto tunazopitia katika malezi ya watoto na jinsi ya kukabiliana nazo,wote tunatambua kua malezi ya watoto ni muhimu na watoto ndio...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Kununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama. 2. Watoto wangu Mnaotumia...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private...
27 Reactions
349 Replies
17K Views
Kuna Story nimeikumbuka ya miaka Saba iliyopita.. Ngoja niihadithie kidogo iwepo hapa kama ukumbusho wa safari yangu mm na huyu Dada ex wangu popote alipo. Anaitwa Teddy, nilikutana naye 2013...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Hapo vip!! Kwanza napenda kudeclare yakwamba, mimi sio mtumishi wala si mganga wa kienyeji msije kunisumbua pm. Ni hivi,binafsi nimekuwa nikitafiti maisha ya wanaume na wanawake wanaotembea na...
23 Reactions
170 Replies
32K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ