Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,077
- 5,873
Hapo vip!!
Kwanza napenda kudeclare yakwamba, mimi sio mtumishi wala si mganga wa kienyeji msije kunisumbua pm.
Ni hivi,binafsi nimekuwa nikitafiti maisha ya wanaume na wanawake wanaotembea na wapenzi wengi,pia ikabidi utafiti wangu niwashirikishe viongozi wa dini.
Ukweli ni kwamba wakati mnafanya mapenzi, mnabadilishana miroho ya ajabu kutoka katika asili zote(kuna asili zenye nuksi, balaa, mikosi, umaskini n. K na kuna asili zenye baraka, kismart za mafanikio na n. K )na pia mnaweka maagano fulani fulani pasipo kujua katika ulimwengu wa roho pasipo nyie wenyewe kujua. Jiulize swali kwanini ukishafanya mapenzi, mkikutana hata kama baada ya miaka mitano unapeana kirahisi.
Ndio maana unaweza ukafanya mapenzi na mwanamke au mwanaume fulani ukashangaa kesho au muda si mrefu unafukuzwa kazi au mambo yako ya riziki yanayumba kabisa au unaanza pata balaa au nuksi fulani fulani.
Au unatoka na mtu kimapenzi then unaanza kuona riziki zinafunguka, mfano kazi unapata,au unaanza kupata pesa katika juu zako za kila siku kwa haraka haraka embu jaribu kuangalia katika jamii inayokuzunguka maisha ya wanaume au wanawake (wasichana) wengi malaya kiuchumi.
Licha ya kiuchumi, kwa wanawake wanaotembea na wanaume wengi anaweza kupata nuksi ya kutoolewa kwasababu mwanaume anaweza akawa ameshafanya mapenzi na msichana mwenye nuksi ya kutoka kuole au wanaita mlango wa saba au mwenye jini mahaba au ametokea kwenye familia ambao hata dada zake wananuksi yakutokuolewa.
Napenda kuhitimisha kwakusema huo ndio matokeo ya utafiti wangu.