Salute wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 27,kipindi na soma chuo niliwahi kutongonzwa na binti ambaye alikuwa tayari ana mtoto sikuona kuwa ni shida maana kila nlipo kuwa na hamu nae alinipa bila...
Hello Habari gani wanajamvi la MMU.
Eeh bhaa kuna kitu nilikuwa nakisikiaga tu ila naanza kukiamini. Ishu iko hivi. Hivi kwa mfano mke wako yeye anapenda kutizama Muvi za kibongo kama Vile...
Salamu wanajukwaa,
Baada ya salamu nijielekeze kwenye mada. Kuna kijana hapa alikuwa kwenye mchakato wa kuoa, amechumbia, amelipa mahari kama M 1.5 na maandalizi ya ndoa yalikuwa yamepamba moto...
Habari zenu wanajamii wenzangu.
Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na hyu binti kama mwaka na miezi kadhaa. Ila sijawahi mgusa, na kila nikiomba uwa anasema nisubiri, hii hali imenichosha sasa...
Hivi namba ya watu ambao umewahi lala nao either kama one night stand,casual hook-ups, friend with benefits au mahusiano ya kawaida inaweza husika kwenye mahusiano mapya? Mfano: mpenzi wako mpya...
Wasalaam,
Wanawake wengi haijalishi ana kipato kiasi gani kwa ujumla wao hawapendi kulipia huduma mbali mbali wanazopata. Na hapa wala tusiwalaumu kwasababu kiasili mwanamke hakuumbwa kutoa bali...
Nakumbuka mwaka 2001 enzi hizo bado niko shule ya msingi katika mji mmoja hapa Tanzania baba yangu ambae alikuwa ni mfanyabiashara wa toka enzi za Nyerere na aliyekuwa kwa kipindi hicho akiitwa...
Mbona wanawake wana lalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukuweni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi...
1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone
2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari
Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza...
Reuters - April 9, 2009
RIYADH (Reuters) A Saudi man has divorced his wife by text message, a newspaper said on Thursday.
The man was in Iraq when he sent the SMS informing her she was no...
Wanawake huwa mnaumia kwa upumbavu wenu wenyewe, you need true love but you engage in dating with fake people kisa tu ni handsome au ana pesa na gari while thats every cheap girl's dream. Wanaume...
Wanawake ni viumbe wa mashindano, kwenye ukristo kabla hujamuoa mapenzi huwa ni moto moto maana geti la ushindani lipo wazi, akizingua anabadilishwa.
Utapewa mapenzi moto moto huku nia yake ikiwa...
Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe.
Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake...
Siwezi hata kuzungumza mengi.
Ni kwamba leo katika harakati za kugegedana na mpenzi wangu mara hamadi nikakuta maandishi katikati ya mapaja yake meupe na manene.
Hayo maandishi yanasomeka hivi...
Wakuu habari za wikendi
Nimekumbuka Kisaa hiki kilinitokea huko nyuma miaka 20 iliyopita.
Nilikuwa nikipata Pisi kali baada ya kuanzisha mahusiano mazuri kuna ile mnaanza kupiga stori za ndani...
Mimi ni dume la mbegu,miaka 45, nina mtoto mmoja nilizaa na beki 3 wa jirani yangu, Mtoto ni mkubwa anajitegemea yuko nje.
Pamoja na upole na ustaarabu wangu ila warembo wengi wananikataa...
Sijisifii ila ndivyo nilivyo, watoto wananipenda sana tangu mimi ni mdogo, hawa watoto naozungumzia, mara nyingi ni watoto chini ya miaka 7
Kwa sasa nina miaka 29, nimeoa na tuna watoto wawili...