Jana nilibahatika kwenda kwa Dokta X aambaye kila Mtu nadhani anamjua anajinasibu kuwa anatibu Matatizo ya uzazi na hata Msanii mmoja ambaye yupo katika msiguano na Basata alishamfanyia Promo...
Nipeni mbinu wazee Kuna mtoto nataka kumtafuna siku hizi ila sijui jia gani nitumie kabisa. Huyu mtoto nilimtongoza mwaka 2017 mtoto akanipiga Chini Kweli. Nikampotezea kabisa.
Sasa mwaka huu...
Samahani kwa kutosalimia, kama mnakumbuka niliwahi kuleta kisa cha kuzaa na huyu mama ambaye ni mke wa bosi fulani jina kapuni!! Ni hivi ninaona ni ngumu mno mimi kumuacha.
Hata mngekuwa nyie...
Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi...
Kuna malalamiko mengi tunayasikia;
Unajua kuna wanawake ni wakali sana ukigusa simu yake ni kama mbogo kabisa, kila siku mbili anabadili password.
Siku akikupa simu unakuta
1. Ama kawablock...
Alietuumba nauhakika alituwekea hako ka dude ka hisia zisizokwisha kwa hawa watu kwa makusud kabisaaa
Hawa viumbe wameumbwa jaman..Halaf mbal na kuumbwa.. anaweza akawa wa kawaida tuu na akakutoa...
Aisee kama zari alfajiri hii kumi na moja ya leo kushituka napokea sms ya kuombwa buku tano na manzi flani hivi ya mtu, mtoto mashalah kama pisi ya willium kiasi kwamba nilikuwa nahofia sana...
Tunachumbiana na kuwa kwenye Ndoa na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana uwezo wa kuishi bila wao
Ni ukweli uliowazi kuwa tupo na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao...
Habari za Muda huu wakuu. Nina Imani mapambano ya kuusaka mkate bado yanaendelea kama kawaida.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna kipindi nilitembelea wilaya fulani Mkoa X kwa ajili ya field...
Jaman habiri zenu ...! Jaman tuendelee tu kukumbushana kuwa mwanamke hataniwi .
Ipo hivi nimekua na utani na wanawake kadhaa japo Mimi ni mme wa mtu na wao wanalitambua hilo kwa sababu katika...
Usije ukajiongopea ku date na mzungu akupende ajitolee mda wake halafu baadae useme unam-dump, kama una mali umefilisika.
Hawa sio kama Wabongo ambao tunaamka asubuhi unamwambia kuanzia leo mi na...
Kwa wanawake na wanaume
Unakumbuka siku ya kwanza kufanya mapenzi ilikuaje?
Mimi nakumbuka hadi leo, nilikua nadhani 4m4 (nimechelewa sana kuanza haya mambo) mwanamke mmoja alipelekwa geto na...
Habari za ndugu, jamaa na marafiki wa JamiiForums
Katika maisha, tunakutana na watu tofauti ambao hatukuwatarajia na wanakuja kuwa kama ndugu zetu tulioshibana nao tukisaidiana katika changamoto...
Happy Sunday My Friends
Mada yangu
Kipindi hiki ambacho nataka kutimiza Ushuhuda ndo nashangaa Yule Mtoto kutoka Pwani Namba D akinitumia sms ambazo zinanipa huzuni na huku akinipigia sm kila...
Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana...
Habari za muda huu JF
Leo mwenzenu nimekuja na swali, je ipi ni thamani halisi ya mbususu?
Ipo hivi Dereva bodaboda ataila Mbususu ya mariamu kwa kuwa Mariam anataka offer ya hizo buku buku za...
Ni hisia ya pekee sana pale unapo tambua kuwa umependa kwa mara ya kwanza, wengine hupenda ukubwani na wengine katika kipindi cha makuzi yao hasa wanapo balehe. Niwapongeze wote mlio fanikisha...
Siku za karibuni nilitembelewa na mpenzi (mchepuko) wangu, na ilipofika jana jioni nikaona nimtoe 'out' kidogo, tuende 'club' moja kusikiliza mziki pamoja na kuburudika.
Mpenzi wangu akaomba...