Mara nyingi tunaingia kwenye mapenzi na watu wanaotaka kuonesha Wapenzi wao wa zamani kuwa wanaweza bila wao

Denis1729

Member
Sep 9, 2021
34
109
Tunachumbiana na kuwa kwenye Ndoa na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana uwezo wa kuishi bila wao

Ni ukweli uliowazi kuwa tupo na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana furaha kuliko wao

In short tunashughulika na kuunda moyo ambao hatukuuvunja sisi.

Wanapima mapenzi waliyokuwa wanapewa zamani na unayompa wewe, kifupi tunapigana vita nyingi bila kujua.

For real
 
Mwambieni mwambieni..............by zuchu
raha by marioo
fall by mbosso

sijui mengine ila nikisikilizaga nakuja kujua hakuna hata kupigana vita ila naamini mda utaongea ukifika maana najua kuna :-
introduction
growth
maturity and
declination.

Wataona ni yale yale hakuna jipya yaliyo pita na yanayo kuja.

time heal.
 
Tunachumbiana na kuwa kwenye Ndoa na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana uwezo wa kuishi bila wao

Ni ukweli uliowazi kuwa tupo na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana furaha kuliko wao

In short tunashughulika na kuunda moyo ambao hatukuuvunja sisi.

Wanapima mapenzi waliyokuwa wanapewa zamani na unayompa wewe, kifupi tunapigana vita nyingi bila kujua.

Duh Pole Denis yamekukuta......
 
Kula mbususu mwamba usitibu vimeo wewe kamua kamua shoo shoo, kikao chetu kila mtu ashinde mechi zake, kojoa tatu kojoa tano chapa ilale tembeza mwendo nyuma na mbele yote maneno.
 
Okoa muda mkuu... tupo nyuma ya wakati sana kama taifa....Huo muda wa kuchezea huwa mnautoa wapi...??

Mapenzi kwa kizazi hiki ni Ngono,,, hizo hisia waachie wafilipino na wakorea....

Sikulazimishi ila kama ukiweza achana na hisia,, akili iwe mbele.
 
Tunachumbiana na kuwa kwenye Ndoa na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana uwezo wa kuishi bila wao

Ni ukweli uliowazi kuwa tupo na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana furaha kuliko wao

In short tunashughulika na kuunda moyo ambao hatukuuvunja sisi.

Wanapima mapenzi waliyokuwa wanapewa zamani na unayompa wewe, kifupi tunapigana vita nyingi bila kujua.

Naunga mkono hoja.
 
Hiyo inaitwa rebound, siku zote ukiona mtu ana haraka sana ujue karejuhiwa huyo na anatafuta wa kutumia tu, akipona atakumwaga!
 
Tunachumbiana na kuwa kwenye Ndoa na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana uwezo wa kuishi bila wao

Ni ukweli uliowazi kuwa tupo na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana furaha kuliko wao

In short tunashughulika na kuunda moyo ambao hatukuuvunja sisi.

Wanapima mapenzi waliyokuwa wanapewa zamani na unayompa wewe, kifupi tunapigana vita nyingi bila kujua.

Pole sana mkuu kwa mateso unayopitia,kama Vipi na wewe mrudie ex wako
 
Wataalamu wanashauri kujipa muda wa kupona (healing & moving on) kabla ya kuingia kwenye uhusiano mwingine.
 
Back
Top Bottom