Mwanamke hataniwi

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Jaman habiri zenu ...! Jaman tuendelee tu kukumbushana kuwa mwanamke hataniwi .

Ipo hivi nimekua na utani na wanawake kadhaa japo Mimi ni mme wa mtu na wao wanalitambua hilo kwa sababu katika profile what's up yangu Nina picha ya familia.

Basi Kuna huyo mwanamke siku nikamsifia kwa sifa zake alivyo na kuambatanisha na utani kuwa natamani pia kuiona sura yake inavyo kua pindi anapo fika kilele Cha mlima Kilimanjaro.

Akastuck kidogo na kuniuliza nimesemaje ..? Nikamuambia subiri saa tatu usiku kutakua na marudio ya habari. Akatabasamu na tukaangaliana macho kwa macho Kama visekunde kadhaa hivi. Basi akawa anageuga kunigeuzia mgongo wake ulio sheheni nyama nyama ..sikutilia maanani tukawa tunatawanyika

Basi siku usiku nikiwa kwenye sherehe ukumbini nikastuka tu mtu ananivuta kwa nyuma bila hata salamu akaniambia nataka uniambie marudio ya habari wewe si unajifanya mjanja...! Kusema ukweli ndugu wasomaji nilijawa na maji kiaina cos yule mwanamke inaonesha yeye ni mjanja na confidence anazo pia lkn kwangu lilikua Jambo dogo tu Ila wangekua ndio wale wanaume wanaojiita ma introvert Kama sio mkojo Basi ngama ingemtoka.

Basi nikamzingua saizi ni muda wa mziki na matangazo so atulie kidogo. Basi nikawa ndio tumeagana hivyo Basi ulipo fika muda wa mazawadi tukatoa na akaniiliza hiyo habari bado tu...? Nikamjibu kwa twende tukasikilizie nje nikampanga aanze yeye kutoka Hadi lodge flani alafu na Mimi nakuja nyuma Basi bila kupoteza muda haoo Hadi chumbani na tukajikuta tupo uchi Ila Mimi nilikua nimabakiza kondomu tu. Ndio nilikua nimevaaa alafu nipo namchomeka mtoto wa watu dude lililo vaa kondom kwenye kikojoleo chake. Pembezoni mwa kitanda akiwa kalala chali na Mimi nimesimama mguu mmoja chini mwingine juu ya kitanda huku Mikono naminya Minya makopo ya Nido japo kua nilipiga kimoja Ila show ilikua ya dakika arobaini tangia filimbi ya kwanza ilipo Lia.

Basi wa pili huyu ndio tupo kwenye process Ila nawaahidi ndugu wasomaji kuwa huyu sita mdinya kwa sababu kwa Sasa sipo tayari kuzaa na wanawake wengi.

Ipo hivi huyu anapenda Sana kupost mambo ya injili injili na ameokoka kweli ila kitu kinacho muangusha ni ka umri kamesonga Sana na wachumba hawaendi kwa baba yake wakatoe mahali ili awe huru kuchezea dudu Kama ilivyo Sasa anavyo chezea dudu kwa kificho.

Basi huyu Kuna siku nikamtania tu kuwa akinizalia mtoto kwa jinsi alivyo yeye na Mimi nilovyo Basi mtoto asipo kuwa askofu Basi atakua padri nae akacheka Kama kawaida yao kumbe mwenzangu hili analo lipo kichwani baada ya hapo nikaona kila story zikija Basi lazima azipeleke upande huo huo nikajua tu this mwanamke anakiu na mtoto hapa nikicheza blanda tu natengeneza singo maza nyingine na kuongeza idadi ya walalamikia singo maza duniani...

Hamuwezi amini Leo katika pita pita fb nakuta kwenye group flan anaomba ushauri kuwa Kuna mwanaume wa mtu anampenda na huyo mwanaume anaomba kuzaa nae na ni mume wa mtu..! Naona watu wanamshauri Kama mwanaume anauwezo na ameonesha Nia azae tu kikubwa matunzo Kama ndoa Kuna watu waneolewa wakiwa na watoto tayari .....na yeye inavyo onesha kwa majibu alio kuwa anawajibu watu anataka kuzaa kweli. Hapo atashangaa tu utani unakua mwingi Ila dudu ndio asahau

NB
Wahenga walisema mzaa mzaa hutumbua usaha hili ni kweli. Inaonesha Kuna baadhi ya singo maza ni zao la mizaa.

........ Mwanaume tafuta hela kwa ajiri yako na maisha yako na ujipende bila kusahau kujiwekea akiba ya kesho yako ......ukizeeka utakua wewe pekeyako hao watoto unao wahangaikia kwa kujinyima ili wao wapate Kuna siku watapost hakuna Kama mama/ my mom my everything.

Sijasema uwanyime wape kwa kadri yao .... Kila la heri kwenu
 
Hongera Sana Mkuu kwa Kuwapelekea moto mademu unaowatania.
Mzee Kuna huyo mke wa mtu hapa ....yaani kaenda Hadi kupima ili nimnyandue na kuniletea makaratasi na kipimo juu ili nione Kama yupo salama lkn nimegoma kumnyandua kwa sababu bwana ake ni jmaa mmoja piece Sana alafu Hana makuu ni mpole Sana yule jamaa na anasalimia Sana Ila mkewe ndio amedata na Mimi ile mbaya alafu tupo ofisi jirani
 
Aiseee inasikitisha sana hawa wake zetu ,hakuna siri ya watu wawili ,ukimgonga tu lazima mwenye atakuja kujua then baada ya hapo KIFUATACHO ITV.......
 
Hata mke wako naye huwa anataniwa hivyo hivyo.....
What's good for the goose, is good for the gander.......
Mke wangu mwenyewe ili abaki yeye pekeyake alipigana na wanawake wasio pungua watano ili ajimilikishe na hakuna umbea utakao mpelekea akakuelawa . Muda mwingine Nahisi hata akinifumania live nanyandua anaweza fikiri sio Mimi wameniedit tu

Mzee sisi wengine ndio tuliumbwa hivyo kupendwa na wanawake hata Kama hatuna kitu ....Tukiwachekea tu kidogo viutelezi vinawatoka
 
Aiseee inasikitisha sana hawa wake zetu ,hakuna siri ya watu wawili ,ukimgonga tu lazima mwenye atakuja kujua then baada ya hapo KIFUATACHO ITV.......
Mzee wanaume ndio tunaropoka ropoka maswala ya kunyanduana Ila wanawake huji kusikia akisifia kunyanduliwa kamwe labda umfume.
 
Mke wangu mwenyewe ili abaki yeye pekeyake alipigana na wanawake wasio pungua watano ili ajimilikishe na hakuna umbea utakao mpelekea akakuelawa . Muda mwingine Nahisi hata akinifumania live nanyandua anaweza fikiri sio Mimi wameniedit tu

Mzee sisi wengine ndio tuliumbwa hivyo kupendwa na wanawake hata Kama hatuna kitu ....Tukiwachekea tu kidogo viutelezi vinawatoka
Endelea kujifariji, Ila jua mla huliwa....Sisi wanawake huwa tunapiga matukio ya kimya kimya, Kama unabisha kamuulize ex mume wa DC wa Bagamoyo.
 
Mazee naona unajipa matumaini hewa...(Nobody is irreplaceable)
Wanawake ni wataalamu wa kudanganya na kuwakamata ni ngumu sana....
Ndiyo maana hao wake za watu wanaendelea kucheza na wewe na waume zao hawawakamati..
 
Hata mke wako naye huwa anataniwa hivyo hivyo.....
What's good for the goose, is also good for the gander.......
Wataniwe waliwe, waliwe wataniwe, wakizingua waachwe tena kwa dharau na makofi juu wakileta ngendembwe.

Wanatutesa sana sisi introvert😁
Hata mke wako naye huwa anataniwa hivyo hivyo.....
What's good for the goose, is also good for the gander.......
 
Endelea kujifariji, Ila jua mla huliwa....Sisi wanawake huwa tunapiga matukio ya kimya kimya, Kama unabisha kamuulize ex mume wa DC wa Bagamoyo.
Apige tu Ila awe makini cos mwisho wa siku Sina Cha kujutia nikimpoteza cos Maisha yangu ndio kila kitu kwangu as long as nipo na afya huenda naweza pata vingine vizuri zaidi ya hivi. Ndio hivi sijajiwekea mipaka kwa sababu chochote kinaweza kutokea muda wowote
 
Mazee naona unajipa matumaini hewa...(Nobody is irreplaceable)
Wanawake ni wataalamu wa kudanganya na kuwakamata ni ngumu sana....
Ndiyo maana hao wake za watu wanaendelea kucheza na wewe na waume zao hawawakamati..
Kwa Nini nimfunge mtoto wa watu mateka Kama simrizishi je ....? Yes akatafute dudu huko Ila tu matunda yatakayo patikana na Hilo dudu linalo mkosha ale nalo huko huko ...

Cos kibaya kwangu ni kuhangaika na kulea damu nyingine wakati pia na Mimi ninayo....
 
Back
Top Bottom