Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanzoni mwaka jana kuna familia ilihamia kwenye nyumba yao waliojenga. Ilikuwa ni jirani na nyumba ambayo kuna chumba ndani yake nilimokuwa nimepanga. Katika familia hiyo kulikuwa na binti mzuri...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Hii ni kwetu ambao tunafanya kazi ambazo ni hatarishi katika mazingira! Hapa ndipo nilipokuja kufahamu kuwa sio wanawake peke yao wanaofanya kazi hatarishi, mfano wale wanaouza miiili yao...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Miaka ya nyuma ilikuwa napopiga mashine unakuta sometimes mtoto kama kainama anapinda kiuno upande kutafuta angle ambayo hatakuwa aki feel the pain. Au anaomba nimwandae tena aloane. Miaka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar Wana Jf. Nadhani mmeshawahi sikia mwanamke kapangiwa nyumba nzuri, anapewa mkwanja wa kutosha lkn mwisho wa siku karuka na mtu ambaye Hana mbele wa nyuma. Naam habari ndio hiyo, bilashaka...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari MMU. Kama ilivyo kawaida ya desturi na mila za kiafrika mzazi ni mtu muhimu sana na ushauri wake una nguvu kubwa sana pengine kuliko kiumbe yeyote aishiye chini ya jua. Back to the topic...
4 Reactions
170 Replies
15K Views
Kwa kifupi kuna mengi ambayo nimefikiria mpaka kuandika Andiko hili Kama utaona kuna binti au linakufa wewe mwanamke basi pm yangu iko wazi Na ni serious Kwa kifupi Mimi ni kijana umri miaka 28...
0 Reactions
3 Replies
745 Views
Watu wajf je mtatumia mkaa wa vinyesi vya binadamu??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello JF members, Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya JF baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana...
22 Reactions
127 Replies
7K Views
Huyu Dem tulikutana sehem falani alinikuta kazini kwenya kampuni Moja sihitaji. Baada ya muda flani tukaziweana na kukazaliwa mapenzi. Nilimpenda sana Dem naye mwanzoni akaonesha kama amenielewa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wanaJf wenzangu. Nikielekea moja kwa moja kwenye mada Mimi na huyu bi dada ni wapenzi kwa takriban miaka 3 sasa, mwanzo tulikuwa tunaishi pamoja ila kutokana na majukum ya kikaz...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
1 Reactions
7 Replies
798 Views
Heshima kwanu wakuu, Last week waliingia wanachuo kadhaa wa chuo jirani kwa ajili ya shuguli za kiofisi kwenye ofisi yangu. Wakati wanaingia waliingia wote kwa pamoja, ila wakati wa kupewa huduma...
11 Reactions
142 Replies
18K Views
UPDATES: Ni wiki sasa tokea nianze kurudi kupata huduma kwenye kile ki baa mchongo. Kama kawaida yangu, naagiza nyama rosti ya 3k nakula nashushia na maji ili kuzibua misuli ya uume, kisha naenda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
SEHEMU YA 1 Salaam wana JF, Lengo la uzi huu ni kuwapa ushuhuda kuhusu maisha yangu kingono hasa baada ya kuokoka. Mimi ni mwanaume wa early 30's. Kiimani nimeokoka. Kwa kifupi wa kunitenga na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna nyimbo ya msanii mmoja kutoka Ufaransa anaitwa ninho Ndani ya wimbo uo kuna sentence fulani ina sema Je ne travaille pas pour avoir d'argent Mais je travaille parce que j'aime travailler...
0 Reactions
4 Replies
714 Views
Breaking: Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe. Mchezajini wa Orlando Pirates Tendai Ndoro (36) amepoteza Mali zake zote...
10 Reactions
107 Replies
11K Views
Leo nimemkumbuka my rafiki yangu sio kipenzi kwa sababu alikuwa anakera sana. 1. Anaweza kuvaa brazia zako . 2. Kuvaa nguo zako hataka kama ni special kiasi gani . Naakiharibu kitu anasema kwani...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari ndugu wapendwa Katika maisha ya siku hizi kati ya wanawake 10 basi kuamini mmoja tena awe mama yako mzazi tu hawa wengine achana nao kabisa ni wezi na waongo. Nimeamua kusema haya sababu...
10 Reactions
73 Replies
6K Views
Habari za uzima wapendwa natumai ni wazima wa Afya Rejea mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwa ajili ya kusex tuu no serious relationship...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Jamani mtu akiolewa kaolewa na ukoo mtu anakuja na familia nzima . Yaani wazazi wote wawili , dada , kaka na wadogo zake ndani yanyumba halafu hawana hata haya yakukaa na wao ndio wamefika. Hata...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…