Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake???
Hapo mwanzo...
Katika harakati za kutii sheria mpya niliyojiwekea ya kuachana na mahusiano ya kimapenzi kutokana na mahesabu niliyoyabaini ya kupoteza si chini ya 180,000 kwa mwezi ili kumpatia mtu ambaye ndani...
Mtatuua yaani asubuhi asubuhi naamshwa na text ""baby leo ni girl friend day naomba zawadi""
Tangu nizaliwe ndio leo naisikia hii siku, kumbe ipo kweli nimeingia mtandaoni nimeikuta.
Sasa huyu...
Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine...
Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule.
Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani...
Habari!
Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini. Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose...
Nimekumiss wangu sana zamani tulipokuwa tunaandikiana barua za upendo kama hizi,
Uhali gani mpenzi ,
Tokea mchana sijakuona ,
Umeshindaje,,,,, wangu .
Moyo wangu ulikuwa mzigo na wasiwasi wangu...
Kuna siku nilileta uzi kumuhusu, mrembo mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano; ila kutokana na kuwa na mambo ya gharama gharama tukajikuta tumetengana.
Kwa bahati mbaya, katika kutengana huko...
Mke anatafutwa wa kupanga nae maisha
Age: 18- 28
-Education ata list ajue maesabu ya pesa + na - awe anaweza kuwa business idea
-Aweze kujishughurisha kwa kazi ata kama amesoma sio ategemee...
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo...
Za asubuhi wakuu,
Story inaanza mwaka jana kuna mdada mtaani kwetu nlimgea kizawadi Kidogo kama gia ya kumtongoza ila Baada ya hapo nlibadilisha mawazo, sikuendeleza mazoea nae, niliahirisha...
Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote.
Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado...
Nilifungua channel ya Arise and shine Mwamposa alisema ambao wanatafuta mchumba wasimame walikua wengi sanaa.
Nikawa nawaza kwanini sasahivi kundi kubwa la wanaume hawataki kuoa? Na kwanini...
Wakuu; japo si swa ila kimoyomoyo nimefurahi kijana anapelek moto.
Kuna mke wa bro bahati mbay bro alitoka duniani miaka karibia 10 iliyopita; bro alikua maisha safi sana, kitengo kikubwa...
GREETINGS
Eeeh bwana eeeh is me Mr. Liverpool again A.K.A YANGA BINGWA!
Baada ya salamu tuelekee kwenye hoja.
INTRODUCTION
Mwenzenu baada ya kuona ajira hainifikishi kokote niliamua kufungua...
Yaani iko hivi
Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki...
Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana?? [emoji856]
Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila...
Mambo yasiwe mengi haya ndiyo huwa yananikera kwenye harakati zangu na wanaume.
1. Kupaka mate katikati ya game.
2.Mwanaume kumiliki Nyoka kubwaa yani dushelele linene.
3. Mwanaume kumiliki...
Mwanzoni mwaka jana kuna familia ilihamia kwenye nyumba yao waliojenga. Ilikuwa ni jirani na nyumba ambayo kuna chumba ndani yake nilimokuwa nimepanga. Katika familia hiyo kulikuwa na binti mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.