Kanipigia Analia: Kimoyomoyo nilifurahi

Kanipigia Analia: Kimoyomoyo nilifurahi

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,472
Reaction score
1,582
Wakuu; japo si swa ila kimoyomoyo nimefurahi kijana anapelek moto.

Kuna mke wa bro bahati mbay bro alitoka duniani miaka karibia 10 iliyopita; bro alikua maisha safi sana, kitengo kikubwa serikalini watoto walekua wanasoma English medium nk. Sasa alipoondoka alimwacha mjane (pisi) kali sana na watoto.

Shemeji aliwalea watoto wale kiasi kwamba anafuatilia kila kitu; kijana mkubwa alimchunga sana hadi akawa na vitabia vya kike; but yule dogo kichwani zilikua safi sana, akamaliza la saba akawa wa kwanza mkoa..kaenda Olevel kamaliza kaeda kipaji maalum pale kasoro bahari Advance...

Sasa shemeji yangu alikua anamchunga km binti, sasa shule zimefunga dogo karudi home, dogo kumbe ana line ya simu. Mama kaiweka laini ya dogo kwa simu sms zikaanza kunigia...dogo ashaanza kuzichakata...mama kalia nusra azimie..kanipigia simu nikaongea na kijana...kwamba eti kaanza tabia mbaya..

Hapa mi km ba mdogo najiandaa niende nikamlipia dogo mbele ya mother yake ila kimoyomoyo nitakua nasema dogo chapa ila chunga magonjwa tu...hahaha..

Anyway..kichwani dogo ni safi..katoka O level na Division I single digit..advance pale mji kasoro bahari pembeni na kile chuo kwa IDM zamani anatembeza A za kumwaga...

Kijana kakua...SAFI DOGO langu...huzuni yangu umeitoa maana uliawekewa mazingira ya kina cameroon
 
Kwa kweli dunia ya sasa
Sio siri hili ni jambo la kufurahisha..you have gained a man..aongezewe elimu na ajue risks
Huyo mama simuelewi

Wkt watu wanajaribu kuhakikisha watoto wanakua straight oriented ht kwa mitego
 
Wewe Hannah acha ukichwa ngumu na wenzako ambao hamjaelewa!.
Kwa kifupi jamaa alikuwa na mashaka na huyo dogo alivyokuwa akilelewa,hofu yake ni huyo dogo kutumbukia ktk lindi la ushoga!.

Lakini baada ya kupata hiyo taarifa ya kuwa dogo anazichakata mbususu amefurahia kuwa kidume kinafanya kazi yake,japo aliitwa Kama baba mdogo kwenda kumrekebisha kuhusu hiyo tabia ya dogo kuchakata mbususu!.

Malezi ya Sasa yanashida sana na kusababisha watoto wakiume kujiingiza kwenye ushoga zaidi mtoto akiwa analelewa na mama pekee!,hivyo basi ni heri dogo kuchakata mbususu kuliko kuwa kinyume chake. Nami naunga mkono hoja ya mweka mada.

Na mwenye kuelewa na aelewe.
 
mtoto wa kaka yako unamuita mdogo wako? wewe ndo faza na huyo ni mwanao.
 
Wewe Hannah acha ukichwa ngumu na wenzako ambao hamjaelewa!.
Kwa kifupi jamaa alikuwa na mashaka na huyo dogo alivyokuwa akilelewa,hofu yake ni huyo dogo kutumbukia ktk lindi la ushoga!.

Lakini baada ya kupata hiyo taarifa ya kuwa dogo anazichakata mbususu amefurahia kuwa kidume kinafanya kazi yake,japo aliitwa Kama baba mdogo kwenda kumrekebisha kuhusu hiyo tabia ya dogo kuchakata mbususu!.

Malezi ya Sasa yanashida sana na kusababisha watoto wakiume kujiingiza kwenye ushoga zaidi mtoto akiwa analelewa na mama pekee!,hivyo basi ni heri dogo kuchakata mbususu kuliko kuwa kinyume chake. Nami naunga mkono hoja ya mweka mada.

Na mwenye kuelewa na aelewe.
Nimemuelewa sana na comment yangu ni ile ile. Baba mdogo ni mjinga.
 
Wakuu; japo si swa ila kimoyomoyo nimefurahi kijana anapelek moto.

Kuna mke wa bro bahati mbay bro alitoka duniani miaka karibia 10 iliyopita; bro alikua maisha safi sana, kitengo kikubwa serikalini watoto walekua wanasoma English medium nk. Sasa alipoondoka alimwacha mjane (pisi) kali sana na watoto.

Shemeji aliwalea watoto wale kiasi kwamba anafuatilia kila kitu; kijana mkubwa alimchunga sana hadi akawa na vitabia vya kike; but yule dogo kichwani zilikua safi sana, akamaliza la saba akawa wa kwanza mkoa..kaenda Olevel kamaliza kaeda kipaji maalum pale kasoro bahari Advance...

Sasa shemeji yangu alikua anamchunga km binti, sasa shule zimefunga dogo karudi home, dogo kumbe ana line ya simu. Mama kaiweka laini ya dogo kwa simu sms zikaanza kunigia...dogo ashaanza kuzichakata...mama kalia nusra azimie..kanipigia simu nikaongea na kijana...kwamba eti kaanza tabia mbaya..

Hapa mi km ba mdogo najiandaa niende nikamlipia dogo mbele ya mother yake ila kimoyomoyo nitakua nasema dogo chapa ila chunga magonjwa tu...hahaha..

Anyway..kichwani dogo ni safi..katoka O level na Division I single digit..advance pale mji kasoro bahari pembeni na kile chuo kwa IDM zamani anatembeza A za kumwaga...

Kijana kakua...SAFI DOGO langu...huzuni yangu umeitoa maana uliawekewa mazingira ya kina cameroon

Hivi shule bado hazijafunguliwa
 
What a good for nothing baba mdogo. Jinga kabisa
Huwa sisi wazazi wa kiume tunapata ka pride vijana wetu wakianza kuzitafuna mbususu .vijana wameharibika siku hizi unaweza kuta ni upinde

Hivyo tunawakanya na kuwaambia watumie kinga tunaigiza tumekasirika ila ina reality ni furaha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom