.
[emoji2389] Matarajio yaliyopitiliza.....
[emoji3597] Kwa kawaida kila mmoja wetu hutazamia mambo makubwa kutoka kwa mwenzi wake, ikitokea matarijio yako yakawa kinyume na vile ulivyomdhania...
Ulikuwa mwaka wa 2019 ex wangu aliniacha na kuolewa na mwanaume mwingine kitendo icho kiliniumiza saana
Sasa katika purukushani zetu mimi na yeye
Nilijikuta nikitamka maneno kuwa katika maisha...
Maisha ni safari na ni siri ndefu na kila mmoja ya kwake, kuoa ni sifa ambayo mwanaume anapaswa kujivunia;
Natafuta mke wa kuishi nae sasa mpaka milele.
Sifa zangu:-
Ni mkristo
Ninaumri wa miaka...
..
Naanza na wanawake..
:unajua ndoa ni jambo la heri tena liliandikwa na mitume wengi zaidi.
:zamani kidogo tulikua tukichaguliwa mume au mkee
Lakini kadli siku zinavyoenda ndivyo nasisi...
Nina week nimebakiza niende kujitambulisha ukweni kwenye familia ambayo kwa jinsi binti alivyonieleza baba na mama mkwe ni wakorofi Sana.
Ameniambia pia nijiandae kujibu maswali kwani unaweza...
Habari wanajamii forum.
Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa...
Leo ni mara ya kwanza kuingia kwenye hili jukwaa wadau, nategemea ushauri wa maana juu ya hili jambo.
Iko hivi kuna kijana wangu anaomba ushauri kuhusu tatizo linalomsumbua yeye ni mkristo wa...
Iddi Makengo
16 hrs ·
STORI YA MAISHA YANGU; MUME WANGU NAOMBA LEO USINIPIGE!
“Mume wangu naomba leo usinipige, nimechoka sana mume wangu, naomba tu usinipige…” Mke wangu aliongea kwa unyonge...
Ndio, kuwateka namaanisha wawe upande wako...wakukubali kuwa kweli wewe nimtu sahihi kwa mtoto wao.
Mara nyingi wanawake wanawateka mama mkwe zao hasa kwa vitenge, kanga na vijizawadi vingine vya...
Salaam kwenu
Jana jioni nilitembelewa na mabinti wawili ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi.
Ujio wa mabinti hawa ulitokana na kuagizwa na Kaka wa mmoja wabinti hawa waniletee bahasha...
Kuna dada mmoja anasoma chuo, ni mpenzi wangu japo anajua nina mapenzi, kabila lake ni mmakonde, mweupe na ni islamic..
Shida ni kua ana hamu ya mtoto na anakaa kwao na mama yake, anataka...
Habari zenu wakuu.
Wahenga walisema "fimbo ya mbali haiui nyoka" wahenga walijaa busara hasa, wakaongeza na asiyekuwepo na lake halipo.
Mimi muhenga mwandamizi nasema hivi, hakuna mapenzi ya...
Habari zenu wakuu..
Leo naomba niongee na wewe binti, dada au hata mama unaweza kumwambia binti yako. Dunia ya leo ni dunia ya kizazi kilichoharibiwa na shetani. Malezi yamekuwa mabovu kwa sababu...
Naitwa Richard 35 Mkristo naishi DAR Nina Familia Ila hitaji langu NIPATE rafiki mwanamke MTU mzima 30+ mpaka 50+ lengo ni kuwa namtu wa karibu zaidi na mwenye tija katika maisha ya kila siku...
Huu uzi unahusu jinsia zote mbili me na ke
Hivi ukigombana na mwenzi wako ama mkipishana lugha huwa unachukua hatua gani ili kuumaliza huo ugomvi?
Na unaweza kumshauri me ama ke mwingine ambaye...
How it feels to meet someone who was once in love with your wife or love, the man whom your wife/love was once madly in love with him, doing all stupid stuffs?
The man who sees your wife through...
Mimi nimesha jipambanua, nisipoenda mbinguni mjue ni kwasababu ya uzinzi. Sasa leo ngojeni niwaambie njia ambayo inafanya nisilale njaa.
Kwanza tangu nilivyo gundua kipaji changu cha kuwapa raha...
Nikiwa sina hili wala lile kwa siku hii iliyoanza vyema kuliko ilivyokuwa kwa siku mbili nyuma ambazo kiukweli ni ngumu kuzielezea lakini itoshe kusema zilikuwa mbaya sana. Asbuhi ikakucha huku...