Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,446
- 7,990
..
Naanza na wanawake..
:unajua ndoa ni jambo la heri tena liliandikwa na mitume wengi zaidi.
:zamani kidogo tulikua tukichaguliwa mume au mkee
Lakini kadli siku zinavyoenda ndivyo nasisi tunavyozidi kubadilika.
:unampenda mwenyewe mnakubaliana wenyewe pia mnaishi wenyewe mnakula wenyewe mnalala wenyewe mkiamka mnaamka wenyewe mkifanya kitu cha mafanikio mnafanya mkiwa wenyewe.
:ndoa ni kama kipindi cha msimu flani wa kilimo
Kuna muda mtalima mtapanda mtapalilia na mtavuna
:namanisha hivi.
Kwenye ndoa kuna muda mtacheka mtafulahi mtataniana
Lakini kuna muda mtalia mtanuniana hiyo ndio ndoa.
:sidhan kama kuna mzazi anaweza kumuozesha bint yake
Huku akimpa mitishamba au akimwambia ukihitaj chochote
Nenda kwa mganga fulani.
Na kwa mumeo ita kua sawa.
:wanawake kuna kitu kidogo wengi amjakijua.
:kwenye ndoa wewe ni mganga kuliko mganga yoyote yule
Wewe ni mchawi kuliko mchawi yoyote yule kwa maana
Hii dunia ni yakwenu nyinyi nasio wanaume.
Mloge mumeo kwa upendo mapenz kumjali
Kumshauri kumsihi nakumfanya kama mwanao wa kwanza
Maana wanaume wananyonya maziwa ya mwanamke
Mala mbili tu
kwanza maziwa ya mama pili maziwa ya mke.
Usikubali kua mkuku kwa mumeo
kama alikupenda ukiwa unaoga
Sio kwamba kakuoa ndo upunguze kuoga
kama alikupenda kwasababu unamnyenyekea
sio kwasababu kashakuoa
Ndo uache unyenyekevu kama alikupenda kwasababu umekua mshauri mkalimu mwelewa kwaKe mwanamke wakujali
Mtafutaji unajituma basi ongeza jitihada kwenye hilo.
Labda mmekosana sio maana sasa ndo umnyime unyumba
Umtangaze kwa majilani au kwa rafiki au utangaze mapungufu yake
Mwanaume ndio kiumbe pekee kina athirika kisaikolojia
pale anapokosa tendo la ndoa kwa wakat au sexy[emoji1]
Akuna mganga wala doctor wala mshenga wala pastor
Ama ustaz atakae weza kuilejesha ndoa ulioiharibu wewe mwenyewe
Tena kwa akili zako timamu
:kuwa bora zaidi ya mwanzo
UPANDE WA WANAUME
:naanza na sisi wanaume kwanza unapo mpenda mwanamke
Lazima kuna sababu moja mzuri,mpole,mwelewa,sio mapepe,anaheshima,mpambanaji,au,msafi,
:sio kwamba umemuoa sasa ndo umgeuze ngoma
Au ukamtaze kufanya kazi ata kuoga kwake kwa mashaka mashaka
Hizi nguo ulizomkuta nazo tangu mwaka jana mpaka leo
Anazo izo izo mafuta yakujipa mpaka akuibie pesa ndo anunue
Oky kipind unakutane mwanzo mki sexy unaenda mpaka lound 5
Na bado asubuhi una amsha nae
Sasa kisa umemuoa unapiga gori wewe umekinai
Huo unaitwa unyanyasaji wa kijinsia
Sidhani kama kuna mwanamke anaweza kupewa huduma
Zote alafu aka kuchit
Uo ugali wako na chipis kuku unadhani kwao alikua avipati?
Timiza huduma zako zote kama mwanaume afu uone kama atakuacha.
Kwenye uchunguzi wangu nimegundua kitu kimoja
Mwanamke akila akashiba akaoga akuna kitu kingine
Anacho waza zaid ya kusexy .
Pia mwanamke ambaye ajasexy kwa wakat ua anakua mwingi
Wa hasira kiburi na dharau .
Kama utashindwa kutimiza hivyo kila siku utakua unambadilishia
mkeo majina malaya ,kahaba,chagudoa bila kujua yote hayo yanatokana na wewe.
😱ky kwenye ndoa kuna kukosana nasio mmekosana sasa
Ndo muachane utaacha wangapi?
Kaaa
chini zungumza nae mmalize tofaut zenu maisha yaendelee.