Siku moja rafiki yangu aliniita tukutane grocery maeneo ya uzunguni, haikuwa weekend watu walikuwa wachache sana nikaagiza Grand Malta baridi tukakaa na jamaa tukipiga story yeye akipiga chui chui...
Peace be upon you all,
Nadhani lengo la vikoba (sijui kama napatia spelling) ilikua kuwasaidia wanawake kiuchumi ila sote tunachoshuhudia ni tofauti kabisa. Vikoba vimekua kitanzi cha miiba mwitu...
Yaani mtu unakutana nae, unamkubali, unaamua kumfuata Ili angalau akupe namba zake mjenge ukaribu halafu anakwambia Hana simu na unaona ameishikilia kabisa.
Kama imewahi kukutokea itakuwa...
Mara nyingi hamuitikii salamu
Nilichogundua ni kwamba mwanamke mwenye watoto wengi anakuwa mtulivu Sana kwenye ndoa kuliko mwenye watoto wachache. Kwangu nimepima watoto wengi nikuanzia wanne...
Ile ndo mnaita sex drive.
Kuna watu wanapenda kulana daily. Weekend mara 3 yaani wako hivyo. Sasa akikutana na mtu ambae kimoja cha mkwezi amefunga faili mpaka week ijayo inaleta shidaa.
Wengine...
Nimetokea kupenda kufanya mapenzi na wanawake wenye matumbo makubwa(vitambi).
Sio siri wanawake wa aina hii wana joto sana yaani ukiwa unashika shika nyama za tumbo mzuka unapanda fasta.
Dada...
Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa...
Kwa ufupi, nipo kikazi mkoa fulani kwa bahati mbaya/nzuri nimekutana na binti nilibahatika kuwa nae kimapenzi na nikamhudumia kwa miaka kadhaa nyuma kabla ya kwenda nje ya nchi kujiendeleza...
Binafsi niseme, kitu nisichohitaji ni mwanamke anipende, sitaki kupendwa na mwanamke kabisa (labda mke wangu nitakapokuja kuamua kuoa). Lakini ajabu ni kwamba nimekua napendwa tu hovyo hovyo na...
Habari za juma pili wakuu, wacha leo niwakumbushe kidogo vijanajuu ya kupata wenza wanaokaa makwao.
(1) Usioe binti ambae kwenye familia yao mama ndio Kila kitu. Yaani mama ndio mwenye sauti...
Huu ushauri ni kwa wale wenzangu na mimi ambao hatujui lini tutamiliki pesa na hapo hapo tunahitaji mbususu
Njia ni moja tu tafuta buku 20 yako tulia tafuta shekhe wako mkali mwambie nifanyie...
Ndugu mpendwa,
Pengine kuna wanaoulizia nyota nini tukisoma kitabu cha luka tunaona mamajusi walikuwa wakimfatafuta yesu wakiwa wanaaendelea kumtafuta wakaona nyota mashariki ya mbali, hapa...
Jamani nilitaka kujua mwanamke huvutiwa na nini kutoka kwa mwanaume? Maana vijana wengi itawasaidia kuepuka ubachelor.
Nitashukuru sana kama dada zangu watafunguka ukweli wote. Hii itatusaidia...
Si vizuri kuwa singo, kipindi hiki cha mwiso wa wiki (weekend), wakati unaweza kumshika shati Hamisi/Ashura, na mapumziko ya mwisho wa wiki yakawa safi kabisa.
Yeyote aliye singo wkend hii...
Kabla ya kupitia hii thread hakikisha mpenzi wako ana umri kuanzia 18+ pia asiwe mtu kutoka kanda ya ziwa au mbeya maana hawa ndugu zangu nawafahamu vizuri 😂😂
⚠️Hakikisha mpenzi wako wallau...
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.