Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mtu baada ya kusoma tu hicho kichwa cha post alijua atakutana na picha za makalio hahahaha. Anyway makalio makubwa yanatamanisha na yana datisha kiukweli. Wanaume tumekuwa crazy juu ya...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Nimehamia mjini so Sina nyumba ya kuishi so kukodi ni lazima nimmeleta na maza ili asiboreke kijijini nyumba ni self tu nzuri ya kawaida so Kuna zenye room mbili yenye kila kitu wanaishi wenye...
9 Reactions
122 Replies
6K Views
Nimepewa dili la pesa na jamaa fulani ambaye ana mtaka ex wangu Kuna msela fulani ambaye ana mtaka ex wangu huyo jamaa anamfatilia saana demu lakini kwa bahati mbaya demu anakataa. Sasa kuna watu...
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Moja Kwa Moja Kwenye Mada Hapa Sioni Ubaya Kuishi Na Ndugu Bali Nazungumuzia Ukiwa Na Ndugu Unaishi Nao Nyumbani Saa Nyingine Unakoswa Uhuru Wa Kujiachia Moja Kwa Moja. Kwaupande Wangu Naona...
10 Reactions
53 Replies
7K Views
-Huna hela -Huna muonekano(sio handsome) -Huna umaarufu wala koneksheni -UNA kibamia -Mfupi -Una kitambi cha kufunua -Unanuka mdomo Na bado una demu!!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekutana na wanawake wa kila aina, vicheche na wasio vicheche, wanaojiuza kimyakimya na wanaojiuza kwenye jumuiya(wanaojianika). na wasiojiuza pia. 90% nimevaa kondomu na 10% nimepiga pekupeku...
31 Reactions
425 Replies
62K Views
Habari Wana MMU.. Wanaume Nchini Namibia wameazimia kupiga marufuku Utoaji wa Zawadi za Birthday na Valentine's day Kwa Wanawake na wapenzi wao.. Hayo yamejiri kwenye Mkutano wa Kitaifa wa kila...
0 Reactions
4 Replies
782 Views
Bwana yesu asifiwe mpendwa, Tumsifu yesu kristo, Asalam alykum shekhe! Nimepata mwanamke safi, ninaempenda, anaenipenda pia. Sasa! nimeambiwa utaratibu wa kwao ambao kwakweli nimehisi...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wana Jf natumain ni wazima wa afya, Mimi nimpangaji na wala sina mda mrefu nimehamia kwenye nyumba hii. Kiukweli hapa nilipopanga tupo wapangaji wanne, mwanaume nipo mwenyewe na sijaoa, yaani...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Wadada wengi wamekuwa na katabia ka kujifanya watakatifu na wanyoofu kwa wachumba zao kwa kuwanyima sex ili wapendwe zaidi na waonekane wanajitunza. Kama mdada bado ni bikra kumbania mchumba ni...
1 Reactions
0 Replies
622 Views
Habari za muda huu, mapenzi hufunza hususani baada ya kuisha. 1. Binafsi nimejifunza kutokurudiana na X ni jambo muhimu sana kwenye ulimwengu wa mapenzi. Akishakuwa X, ni X milele, hakuna tena...
19 Reactions
101 Replies
8K Views
Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani. Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna wanaume baadhi huwa wanajiona wanaakili sana, kumbe ndiyo chanzo cha wao kuleta uharibifu kwenye familia zao. Hofu ya Mungu isipotawala ndani yako, vitu kama hivi ndiyo huwa vinafanyika...
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Kwema wakuu? Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.mimi nina mpenzi wangu ambae tumedumu takribani miezi 8 sasa, lakini hatujawahi kufanya mapenzi kabisa na kila siku tunaonana.shida ya...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu. Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa...
8 Reactions
102 Replies
14K Views
Note: Kama huna mke usihukumu aliye kwenye ndoa. Maisha ya ndoa siyo ngono tu na kuna mengine. Wanawake wengi sana wanauawa, wengi sana na wanaoripotiwa kwenye media ni wachache, nenda vituoni...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Mambo ya Walawi - Leviticus 18 1 Bwana akanena na Musa, na kumwambia, 2 Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. 3 Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri...
1 Reactions
7 Replies
608 Views
Kwa macho ya kawaida utaona mke na mme wana furaha nje wanavyotembea na utasema hii ndio ndoa ya kuigwa ila usilolijua sawa na usiku wa giza. Wanandoa wengi wameachana ila wanaishi nyumba moja...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume, umri miaka 30 , elimu degree ya ualimu , kwa sasa ni mfanyabiashara mdogo , natafuta mke wa kuoa kwa aliye serious anichek Pm. awe hana mtoto umri miaka 27, kushuka, dini...
3 Reactions
1 Replies
486 Views
Inatokeaga hii automatically. Siyo kwamba ulipanga noo, ila ndo inatokea Mdada nawe umekuwa hitter & runner 😜 Mnapanga fresh kumeet na jamaa mkakojoleana but cha ajabu unafika kule match...
37 Reactions
233 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…