Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu habari za jumapili. Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana. Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwa mujibu wake anatumia dawa. Ilikuwa...
9 Reactions
178 Replies
15K Views
Watu wa Mungu nadhani wote mko salama paleni na majukumu yenu ya kila siku, kwa ambao mnachangamoto poleni na Mungu yu pamoja nanyi: Twende kwenye mada husika Jana nilileta hapa jukwaani...
26 Reactions
153 Replies
8K Views
☆Awe na kazi yake ya kuajiliwa au kujiajiri ☆Asiwe na njaa ☆Asiwe na mtoto anaemtegemea ☆Awe huru asiwe na vidumu a.k.a madume wengine ☆Dini au rangi sio ishu Single Mazaz Karibuni
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa ufupi, Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na...
15 Reactions
115 Replies
7K Views
Mimi ni wanamke ninae penda kuwa na amani na furaha wakati wote. Natafuta mume, niliwahi kuolewa lakini hatukupata watoto, mimi sina watoto na ambae pia hana watoto, ili tupate watoto wetu...
26 Reactions
629 Replies
37K Views
Aisee sex sometime unajiona mjinga sana ukimaliza kufanya. Hasa hasa ukipata demu hana ile amsha amsha. Siku hizi mademu wengi wamekosa amsha amsha labda malaya sana. Wengi niliofanya nao sex...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mi ni single mom, mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe Mkristo, umri kuanzia 35+, asiwe Muhaya wala Mkurya, awe anajishughulisha! ASANTE.
19 Reactions
211 Replies
12K Views
Katika harakati za maisha za hapa na pale; nikajikuta nimezaa nje ya ndoa na wanawake wanne, kwa mazingira tofauti. Mmoja, nikiwa nipo mwaka wa mwisho chuo; ambapo mwaka 2007 alizaliwa; kipindi...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Usiniwaze Sana Mimi nawaza Maisha yangu. Ili nifikie Goals na nisiweke- pause Lazima niishi ki-padri (Priest life) Nahitaji chukua Chuma ya Pili ili nimpatie My Mama that All na siwezi mchukulia...
1 Reactions
1 Replies
588 Views
Wakuu hamjambo? Juzi nimekutana na demu wa ajabu sana, ana mwili wa wastani, ana tacle la maana, alikuwa kavaa kimini, ana earphone, anatembea taratibu barabarani, nikapunguza mwendo nikamuuliza...
11 Reactions
60 Replies
6K Views
Kuna siku nilikutana na mdada mmoja, ana shepu nzuri na ya kuvutia. Mjuavyo tena, kwa wanaume halisi kuwa na hisia na watu wa namna hiyo ni kitu cha kawaida. Basi nikajikuta, nimemtamani; katika...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Rejea ule msemo wa milima haikutani, lakini binadamu hukutana. Baada ya miaka saba kupita, hatimaye tulikutana tena mwezi August mwaka huu tukiwa kama majirani wa karibu, muda huo tayari...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimejaribu kufikiria sana kuhusu ndoa zenye mateso na kusababisha vifo,mara nyingi wahanga ni wanawake!Na moja ya mambo yanayosababisha ni MAHARI.Wapo wanaume pengine kutokana na malezi yao au...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Hakikisha unaitikisa kabla ya kuitumia. Just shake it! Waza kwanini ukienda kununua kitu mara nyingi utakishika shika na kukigeuza ndipo uamue kipi ununue. Eti utazunguka bucha zote lakini nyama...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? After all he will pay back when things are okey but...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Tusidanganyane kabisa, Mwanaume yeyote Ana Tabia ya Kukinai. Na ndoa nyingi sana zimevunjika kwa sababu ya wawili kukinai. Hakuna Jambo gumu Kama Mwanaume kufanya mapenzi na Mwanamke mmoja, Awe wa...
9 Reactions
66 Replies
11K Views
Japokuwa ni haki kwa wenza kupeana ngono, ila kuna kundi la watu, wao huwa kama wamepewa nyege za watu wote duniani! Kila baada ya muda wanataka, kila siku wanataka na hawana kupumzika, yaani ni...
15 Reactions
197 Replies
19K Views
Hii ni kotekote, upande ke na upande me huingia penzini kimasilahi hivyo inachangia sana mahusiano yatawaliwe na ugomvi na ndoa kutokuwa na amani, sababu mtu anaingia penzini akitarajia kitu...
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Naamini waliosoma mixed day schools washawahi kumbana na hili Jambo kwa namna Moja au nyingine.Ile uko na kademu/ kachali kako shuleni unakapenda kinyama afu anatokea mtu mwingine ( mwanafunzi...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwanzoni niliona ni attitude ya Muda tu lakini naona nimefika mbali zaidi! Hata nikisikia sauti ya kike inabisha hodi nashikwa na hasira tu. Ni mama tu ndiye huwa nawasiliana naye
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…