Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza! Ni jambo linalotia...
4 Reactions
25 Replies
475 Views
Huyu dada namkubali. Sana Najma Paul mwambieni jamani ucheshi wako lmimi ni shabiki wako, NAKUPENDA sana Mimi kijana wa hovyo sijui umeolewa Sina kitu Sina hela, Mimi ni kafwebe 😞
9 Reactions
134 Replies
3K Views
Let's be short and clear... Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini? Unawezaje kuepuka bila kuvunja...
5 Reactions
15 Replies
362 Views
Tusemeni ukweli eti una mpenzi halafu jana hajakutext wala hajakukumbuka kwa lolote . ILIKUUMA pasuka tu pah na useme kwenye huu uzi uliumiaje?? Ili hata uishi kwa amani. Yaani kila mtu...
14 Reactions
74 Replies
945 Views
Kaka zangu naombeni ushauri Mimi ni kijana wa miaka 24 Nahitaji kuoa mwaka huu Inshallah Mwezi wa 7, sasa kipengele kuhusu huyu mwanamke yupo mwaka 1 chuo ananipenda sana anataka nimuoe ila...
14 Reactions
115 Replies
2K Views
Kila mtu ameweka profile picture na avator yenye kumaanisha jambo fulani. Ie. Wengine hawajawaka. Naongea na wewe ambaye uweweka. Je ina maana gani au umeweka tu? Kwangu mimi avator yangu ina...
3 Reactions
18 Replies
260 Views
Ndugu zangu. Imekua ngumu sana kwa sisi wachakataji kupata msicha bikira ulimwenguni hapa. Pia ni hivyo hivyo ngumu kwa waoaji kuoa binti bikira, unakuta msichana alibikiriwa na baba yake...
1 Reactions
5 Replies
248 Views
Huu wosia nauacha kwa mke wangu na wale wote wanaopenda kuoa wake za marehemu. Sasa kwa mke wangu nawaambia msije mkamuoa, haiwezekani mahali pangu pa kujidai, namkubja ninavyojisikia eti aje...
2 Reactions
7 Replies
223 Views
Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana...
3 Reactions
37 Replies
633 Views
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa? Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote...
22 Reactions
516 Replies
7K Views
Mwaka ndiyo kwanza umeanza ila humu jukwaani zimejaa nyuzi za makasiriko, malalamiko, vijembe; “wanawake hawana mchango wowote?", “kwanini mnazeeka na hamuolewi?” mara "mna nini cha ku-offer? au...
21 Reactions
412 Replies
5K Views
Nini inasababisha hapa bongo wanaume kuteseka zaidi kuhusu wanawake kuolewa au kutoolewa kuliko hata wanawake wenyewe? Wanaume bongo wako obsessed sana na suala la wanawake kuolewa mapema...
11 Reactions
51 Replies
767 Views
Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
2 Reactions
31 Replies
740 Views
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako. Kila utakapopita nalo utakutana na watu wanaojitapa kulijua vzr kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaoelezea namna walivyokuwa...
8 Reactions
21 Replies
462 Views
  • Redirect
Waakuu, rejea kichwa hicho km kinavyojieleza hapo juu, namaanisha kichwa cha habari. Siku za hivi karibuni nikikutana na Mwanamke ambae havai Shanga haanipi amsha amsha kabisa. Why? Wanawake...
1 Reactions
Replies
Views
Wanasemaga usimdharau mtu usie mjue, kuna siku nilipangiwa mishe ya kikazi kwenye moja ya mkoa fulani hivi hapa nchini Tukiwa kwenye hizo site kuna mrembo mmoja akawa analeta mazoea na mimi, japo...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Closed
Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu...
3 Reactions
12 Replies
591 Views
Sijui na tatizo lpi kila nnayemtongoza ananikataa.saiv n mara ya saba bila matokeo,nifanyaje wakuu
4 Reactions
18 Replies
327 Views
Yani hakuna vishawishi vyovyote uivyopitia, umelala vizuri, ila unaamka, unahali mbaya sana, unahamu kali sana ya kufanya mapenzi, nini kinakua kimetokea? kama hii sku ya leo ni hatari sana
10 Reactions
57 Replies
1K Views
Unakuta sharobalo amepiga pamba kali, misifa mingi ukifika nyumbani kwake hana kitanda wala godoro, analala kwenye mabox na sandalusi. Wanaume tujitutumue tununue angalao godoro.
8 Reactions
51 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…