Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Me and my wife tuna siku muhimu ambayo tumepanga rasmi kwa ajiri ya kuwakumbuka wale wote ambao tushawah kuwapenda kimapenz kama sehemu ya maisha yetu kabla ya kufunga ndoa kati yangu na wife...
1 Reactions
6 Replies
909 Views
Jamani kama wewe unahisi una shidaa sikiliza redio za dini wapendwa utamkumbuka Mungu kila siku. kuna mdada ameomba ndoa yake ina shida saana sana akaulizwa why akasema mume ni dreva. Akapata bibi...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya. Nina mchepuko wangu single mother now ana kama miaka 23 hivi Huyu binti nimeanza nae kitambo na tunakua na migogoro ya hapa na pale ila bado alikua ananipa papuchi. Anajua...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Anzani Kwa kutoa wosia Kwa chibaba wangu mpya .
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Mwaka 2018 nilipendana na binti fulani kwenye fb binti huyo alikuwa hanijui na mimi si mjui kabisa si mnajua mapenzi ya fb na tulikuwa tunaishi nchi tofauti yeye TZ mimi nipo katika nchi za...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi kijana Umri 38, elimu kidato cha nne, rangi maji ya kunde, mwembamba, Kaz mjasiriamali. Nahitaji mwanamke wa kuoa umri 27-30, asiwe na mtoto, elimu awe kidato cha nne na kuendelea, dini awe...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Jana siku yangu nzima haikwenda sawa, nilipotoka nikapitia bar, nikanywa bia kadhaa ili kutuliza kichwa mpaka nafika home ni saa 5 usiku. Frustration za Hapa na pale kichwani nikajikuta nalala saa...
11 Reactions
105 Replies
8K Views
Wasalaam JF Katika harakati zangu za ubatizo wa kimahusiano, utamaduni wangu hua navaa low profile yaani mithili ya mtu asiejiweza kipesa, kupitia hili mahusiano yangu mengi yanakufa chap kwa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuingia Kwenye ndoa ni ndoto ya matamanio ya mwanamke ambayo huanza kujijenga tangu akiwa msichana mdogo sana. Na ndoa ndiyo hubadili maisha na mwenendo wa matukio yote yaliyotokea nyuma yawe...
3 Reactions
5 Replies
870 Views
Nadhani wote jioni tukutane kwenye ukumbi wa rose garden hapa majengo Moshi mjini tuna kikao chetu sisi kama team kataa ndoa. Huyu kaka angu katufanyia usaliti mkubwa sana, sote tumekubaliana...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Watu wengi wako kwenye ndoa na watu ambao si matarajio/malengo yao. je wewe ambaye bado hujaingia huko, umejipangaje ili usifanye kosa hilo? Ili umpate mke wa ndoto zako hakikisha hauruki hatua...
24 Reactions
112 Replies
5K Views
Heri ya mwaka mpya bandugu. Mwaka ndo umeanza hivyo,mambo ni mengi,mengi kweli kweli. Mungu atusaidie. Asubuhi ya Leo nimepata habari flani kuwa X kawa chizi..mmh nikashtuka kulikoni huu uchizi...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Nina demu wangu ambaye kwasasa tuna miezi takribani 8 hivi kwenye mahusiano. Huyu demu wangu yupo tofauti kabisa na wanawake wengine ambao nilitoka nao before. Najaribu kusoma tabia yake lakini...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea...
6 Reactions
80 Replies
4K Views
Habari Mim ni mwanamke Umri wangu ni miaka 27 Makazi yangu ni Dodoma Nafanya kazi Natafuta mwenza mwenye umri kuanzia miaka 30 hadi 40 Awe ni mkristo Awe anaishi dodoma Awe na stable source of...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa. Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu kila mtu ana wake anayempenda kwa dhati mke/ mume au mchumba. Hembu jivunie hapa mazuri yake toka umekuwa nae. Nianze mimi, mama watoto wangu Anna nakupenda mno aiseeh, miaka mitano...
13 Reactions
73 Replies
4K Views
Wangapi mahusiano yetu hayajauona mwaka ?
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada. Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali...
16 Reactions
77 Replies
6K Views
Mabadiliko ni kama sheria kiasili, lakini huwa hayapendwi na watu katika kila kitu. Katika mahusiano huwa hatupendi mabadiliko haswa yale ya kitabia hayapendwi kabisa. Imegundulika kuwa wanawake...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom