Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ya asubuhi wana Jf ni miezi mitatu sasa tangu nimekuja tanga. Lakini nilivyokuja katika mkoa huu, kuna binti ghafla akawa ni mtu wa kunichangamkia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! Si...
1 Reactions
66 Replies
5K Views
Binti alisema jamaa alimbaka miaka kadhaa huko nyuma baada ya kugundua tunafahamiana. Baharia nikaipotezea kwa sababu kidimbwi naendelea kusugua nikaona haina noma ngoja kawe kaside chick. Sasa...
1 Reactions
8 Replies
698 Views
Mara nyingi sana huwa nikisikiliza nyimbo ya BUSHOKE na JULIANA KANYOMOZI " usiende mbali ". Huwa anamkumbuka rafiki yangu JAMES mapenzi tu ndo kilikuwa chanzo cha kifo chake. Jamani tunatakiwa...
30 Reactions
54 Replies
7K Views
Mapenz ni kitu cha ajabu sana unaweza ukampenda mtu na usimjue alivyo. Ngoja niwape story wanangu kitu kilichonikuta me katika muhusiano na uyo bint. Nimempenda dem kupitia njia ya simu...
9 Reactions
95 Replies
6K Views
Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati? Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri? Twende kazi...
1 Reactions
12 Replies
984 Views
Habari za usiku wana JF, Mimi ninachangamoto ya kukosa hamu na mwanamke nikiwa naye, na hii hali ni wiki ya pili inaenda, naweza lala usiku mzima isisimame. Nikaenda hospitali nikapima daktari...
6 Reactions
132 Replies
10K Views
USIMWAMINI MWANAMKE HATA SIKU MOJA! TRUE STORY Nilikutana na Sharifa mwaka 2015 akiwa anafanya kazi mgahawani maeneo ya posta ya zamani. Nilipomuona tu siku ya kwanza nikampenda. Baada ya siku 3...
39 Reactions
169 Replies
28K Views
Moja kwa moja kwenye mada kichwa Cha habari kime jitosheleza. Kwa uzoefu wangu hakuna mahali mwanamke anapatikana kirahisi Kama harusini na msibani.. ukumbini unaweza pata pisi Kali kwa ucheshi...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Habarini wana Jamii Forums! Kwa wanao fahamu maisha ya Dar ... kumkutaa mwanamke mwenye mtoto stendi pamoja na mabegi yake na hana pa kwenda ni jambo la kawaida! Kuna mwamba hapa alitokea zake...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Bwana yesu asifiwe, Kesho natarajia kwenda Ile safari yangu niliowaambia wiki iliopita ila nitapanda ndege za emirate mpaka Ethiopia 🇪🇹 pale nitakaa kama siku moja hivi kwa sababu pale pia kuna...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma ilizoeleka/ilikuwa ni ngumu sana kulea watoto wa kike kwenye jamii zetu ukilinganisha na watoto wa kiume. Jamii ilikuwa na hofu kwamba anaweza kurubuniwa na wakora wasiofaa...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa. Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya...
20 Reactions
24 Replies
4K Views
Hali! Sifa ni kama zifuatazo na LAZIMA awe nazo ZOTE. Isipungue hata moja. Wadada ukiona huna sifa hata moja please potea usije hata PM sikuhitaji; 1. Awe ni mweupe, chocolate au maji ya kunde...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari ya muda huu wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako Zinaweza kuwa nzuri au mbaya...
8 Reactions
113 Replies
5K Views
Dada yako akitimuliwa na wewe umetimuliwa tu. Dada yako akipelekewa moto ukawa unasikia kitanda kinapoga kelele asubuhi huwa mnaangaliana usoni kweli?nakuuliza wewe kijana wa kiume unayeishi kwa...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Ama kweli huyu demu ananipenda sana sijui kwanini halafu ukistaajabu mimi sijawahi kumpa chochote kile zaidi ya kumla mbususu ttu yeye ni mzungu na hapa bongo alikuja kama internship katika...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Kutongoza Mke au Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu na Kumbandua / Kumpekecha? Kuwa mwepesi Kushawishika na Mke / Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu ili nilale nae / nimpekeche? Je, Mimi ni...
1 Reactions
5 Replies
614 Views
Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu...
10 Reactions
30 Replies
7K Views
Hellow, Sijui kuandika naomba tuvumiliane Juzi hapa walikuja watoto wa dada yangu home sasa tulikaa tukapika tukala. Sasa ilipofika mda wa kula mtoto kagoma kula mpaka soda inunuliliwe. Mama...
196 Reactions
778 Replies
34K Views
Pepo ni roho wachafu au wabaya wenye nguvu za kishetani wanaoweza kumshawishi mtu atende mabaya na hata kumwingilia kwa lengo la kumharibia maisha yake kiroho na kimwili. Roho hizo huweza kufikia...
1 Reactions
11 Replies
725 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…