Naenda Moshi kwetu kwa ajili ya kufunga ndoa baada ya karibia miezi 3 toka niachane na mke wangu ambaye tumeishi miaka kadhaa na tumebahatika kuwa na watoto pia
Nilileta huu uzi humu...
Baada ya kuniletea zawadi ya vifaa vya michezo,jezi, training shoes nk.
Kwenye maongezi akafunguka kuwa performance yangu imeshuka, eti nachoka mapema nianze mazoezi.
Na kila siku atakuwa...
Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama...
Habari wakuu,
Kuna mlimbwende mmoja humu amenivutia sana, nataka msimu ujao wa mavuno, niweze kutangaza ndoa kabisa.
Huyu mrembo ameiteka sana akili yangu, mpaka uwezo wa kufikiri umepungua...
Habari wadau, dear ex baada ya kuniacha kwa kelele nyingi siku za hv karibuni amerud, anahitaji turudiane sijamjibu moja mojaa nimemwambiaa asubir kwanza, ntamjibu wadau hv kumsamehee dear ex sio...
Habari za muda huu wakuu? Ninaimani mnaendelea poa, lakini poleni kwa wale mnaokabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo 'Kiafya' na nina imani mtarejea katika utimamu.
Wakuu, katika kuhakikisha...
Hivi kuna Mwanamume mwenye akili timamu yaani kichwa cha Familia ana mke wa aina hii?
Ok mtakumbuka wiki kadhaa nilieleza mambo yanayochangia ndoa nyingi kuvunjika... Mfano halisi ni aina ya...
Kwema wadau?
Kariakoo pamefurika leo, watoto ukizingatia hawajaenda shule kutokana na mapumziko ya siku ya leo...
Tunasherekea valentine tupo hapa kariakoo. Pamechafuka fujo na kelele kama zote...
Hivi kwa nini mwanamke wengi huwa hawawezi kuomba penzi. Yaani hawawezi kusema leo nataka unifanye?!
Jambo hili liliwahi kunigharimu ndugu yenu miaka hiyo nikiwa mshamba-mshamba kwenye tasnia...
Nikikuona dada mrembo umevaa nguo yenye maandishi ya kunishawishi au kusisimua, nitachukulia yale maandishi ndicho wewe unacho maanisha.
Kwa hiyo mimi nikitekeleza kwa kufuata yale maandishi...
Habari za humu!
Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema...
"Nikiwa na miaka 20 nilikuwa na vigezo zaidi ya kurasa mbili. Lakini sasa nina 30 nimeondoa vigezo vyote kimebakia cha pumzi tu.
Kama unapumua karibu pm tuyajenge" aliandika mdada mmoja.
My...
Wanawake mnao hangaika na mahusiano baadhi yenu mlipuuza wapenzi wenu watarajiwa wa utotoni na mkafikiri labda ulimwengu utaleta wenzi bora mkaanza kufanya sampling.
Aliyewasukuma kuchumbiana na...
NIMEICOPY SEHEMU.
NJIA PANDA!!
Dada Shangwe shikamoo. Naomba unipelekee ITY ,Yamenifika...
Mimi nilisoma Advance msalato girls, sasa kipindi hicho nilikuwa na rafiki yangu ana Asili ya...
Mapema wiki hii, Tyrese aliingia kwenye Instagram Live ili kuangazia zaidi uhusiano wake na Zelie Timothy—mwanamitindo ambaye walianza mahusiano mnamo 2021.
Alipoulizwa jinsi wawili hao...
‘Hivi ni vijimambo’ unaweza ukaita hivyo, baada ya sintofahamu kutanda katikati ya sherehe ya harusi kutokana na vurugu iliyosababishwa na taarifa iliyomfikia bi harusi kuwa anayefunga nae ndoa...
Makabila hayatofautiani lugha pekee, ila mila na desturi pamoja na mahusiano kwenye ndoa zao pia huwa ni jamii inayojitofautisha na jamii ya kabila au makabila mengine.
Kuchepuka kwa wanandoa kwa...
Kuna kipindi sisi wanaume huwa tunajipalilia maanguko yetu sisi wenyewe. Haijalishi umempenda mtu kiasi gani, ikifikia wakati upendo ukaisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee...
Habari wakuu
Hawa viumbe wanawake ni pasua kichwa wakuu, yaani huyu mwanamke nilipanga kumuoa kabisa, ni mtu wa dini anaimba kwanya kabisa, kanisani daily hakosi, mpole na mnyenyekevu, sio mtu wa...
Kwasababu uongozi wa JF umetuhakikishia anonymity, kutulinda I'd zetu tusijulikane washindi wote wa tuzo za JF.
Nafikiria kumtuma mamaJ kijanja akanichukulie zawad yangu pale ofisi za JF Kwa...