litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 731
- 1,378
Kwema wadau?
Kariakoo pamefurika leo, watoto ukizingatia hawajaenda shule kutokana na mapumziko ya siku ya leo...
Tunasherekea valentine tupo hapa kariakoo. Pamechafuka fujo na kelele kama zote. Wamechinja ng'ombe.
Kumbe mbele kuna lile treni ambalo yupo yule ng'ombe.
Limepita hapa Kariakoo tumeliona.
Tiptop mademu wana mizigo balaa. Njooni wameshusha kiingilio. Ni maji tu ya jero.
Mimi nilishakuja jana ila leo nipo class nawapigisha module madogo.
Ile milima pale k.koo zao la karanga linakubali mno. Ile njia ndo mpaka kigoma.
Ila tabora daaah