Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Imagine sisi wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume kama kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk, na kitandani mnatufanyia Utumwa mkubwa sana, hamtupi haki yetu sawa. Eti kisa...
7 Reactions
114 Replies
7K Views
Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja...
12 Reactions
175 Replies
16K Views
Nampenda sana huyu binti Joannah kweli, ni mpambanaji na anajua kupenda. Nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda, kupitia jukwaa hili...
21 Reactions
211 Replies
9K Views
Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi...
8 Reactions
92 Replies
6K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu Mimi ni kijana wa makamu nimepanga na ninajitegemea pia ni mfanyabiashara... Shida iliyonileta hapa wakuu kuna msichana mrembo sana ambaye nilikuwa nafahamiana...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Wanaume siku hizi mmekuwa wambea sana kuliko wanawake, mwanaume kabisa unakaa kijiweni unamjadili mwanamke au unataka kushindana na mtoto wakike huo ni ujinga. Mwanaume mzuri hanaga mambo mengi...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna hii kasumba ya baadhi ya familia kijana wa kiume hata kama hajafikia umri wa kuoa, wazazi au ndugu zake wanamwambia asioe mapema kwasababu hatawasaidia ndugu zake. Uhusiano wa mimi kuoa na...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari Wana JF. Wengi wetu tumekuwa na maombi tofauti sana juu ya tuliowahi kuwa nao katika mahusiano na hatimae kuachana (ex). Nikianza kwa upande wangu nilikuwa na huyo mrembo wangu tulipendana...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mamboo Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa Mwanaume ambaye anajua kucare. Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke...
14 Reactions
192 Replies
9K Views
Kumtoa Arusha Kuja Dar Tsh 80,000/= Kumrudisha Arusha Tsh 80,000/= Kulala Nae Siku Tatu Tsh 150,000/= Chakula Kwa Siku Tatu 60,000/= Kuhonga Tsh 150,000/= UBER 50,000/= JUMLA Tsh 570,000/=...
26 Reactions
109 Replies
6K Views
Hi! Kabla ya yote, acha nijihami, msiniseme jaman na mm nina moyo Nahitaj mkaka mstaharabu, miaka 28- 35 tu, awe mkristo, mweusi, aishi Dar, au Dodoma awe na hofu na Mungu pia na kazi, Asanteni
11 Reactions
62 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa Tuliowahi kupigwa vibuti, hebu tukumbushane changamoto tulizowahi kupitia baada ya kuona hapa sasa nimeachwa. Mimi upande wangu nilipata tatizo la presha...
31 Reactions
481 Replies
69K Views
Nilikata miaka kama kadhaa hivi bila kuchovya (kuosha mpini) si sababu sina pesa. Laaah ... Pesa mademu wananilia sana na vile mimi ni mpole na mwaminifu so huwa nakuwa na demu ila akiniambia...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwa mila na Desturi zetu za Kitanzania. Jamaa aliyeoa dada yako hata siku moja SIO NDUGU YAKO. Hii kitu inote kwa sababu kwanza kabisa dada yako akifariki jamaa anaenda kumzika kwao. Watoto wote...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ikiwa unapenda kuolewa, lazima uolewe ndani ya miaka 2. Vyanzo vyote vinavyoaminika kama vile U.N na World Factbook vinaonyesha uwiano wa kimataifa wa Wanaume kwa Wanawake ni takriban 1:1. Kwa...
5 Reactions
74 Replies
3K Views
Wakuu, Mtaa jiran na Ninakofanya biashara Kuna mzee mmoja yuko Kwny early 60s, zamani kipindi naanza anza biashara aliwahi kua mwenye nyumba wangu kwenye fremu moja wapo Kati ya fremu zake. Huyu...
12 Reactions
206 Replies
8K Views
Hello Africa Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulijuana tukiwa shule ya upili ni mda sasa tangu tuwe kwenye mahusihano sasa kila tukigombana anakunja nguo zake anataka kuondoka na...
5 Reactions
79 Replies
3K Views
Hello guys, Kila mmoja wetu ajiangalie kwenye kioo kuanzia kichwa hadi unyayo..most of us tutagundua kuwa we are below average in terms of looks wanaume wachache sana hapa Tanzania wana-qualify...
5 Reactions
89 Replies
15K Views
Yaani nashindwa kuelewa wenzangu hua mnawezaje umemtongoza mwanamke kakukubalia mnapanga siku ya game for the first time mnakaa kwanza baa mle mnywe ndo mkafanye yenu, huwa mnafanyaje Kwa sababu...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Salamu ndugu Wana JF Wazazi ni jukumu lenu kuwalea watoto na kuwafundisha Kila waanachostahili ikiwemo na tahadhari zote wanazotakiwa kuzichukua katika maisha Ili kuishi vizuri.Mnapaswa kufanya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…